Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
Kuna mtu ametangaza vita na mimi aise na mi huo mpango wa kuharibiwa resepsheni huwa sitaki muda huu bado nahitaji kupendwa
hata mimi mkuu..nimeingia jana...
Aiseee Vin Diesel ninajitahidi sana.. Malizana na hao hao akina Arushaone.. Mie ujue nduguyo ukinidhuru kesi ninaipeleka nyumbani..
Wewe ndugu yangu na wajua mipaka yetu....mkataba wa amani na uzingatiwe....
gangamala ndugu yangu... Arushaone wala hanipi presha....
chezea mkoloni mweusi....nimepumua sasa
Bora umekuja maana nilikuwa na wasi wasi sana na usalama wangu mkuu Vin Diesel
Halafu unakijua kidudu mtu kinachomwania mkeo Heaven on earth ni grafani11
naona unajipa ma-hope
kuna mtu ametangaza vita na mimi aise na mi huo mpango wa kuharibiwa resepsheni huwa sitaki muda huu bado nahitaji kupendwa
huyu grafani11 wala haninyimi usingizi....dozi nayompa heaven on earth hahitaji kutafuta kidumu.....
my vin leo jioni si nna dozi yangu.........
Huyu grafani11 wala haninyimi usingizi....dozi nayompa Heaven on earth hahitaji kutafuta kidumu.....
kajamaa kana mshiko balaa kanamiliki mitumbwi kibao ya kuvua samaki huko kigoma na kanasambaza dagaa mji mzima wa dar
mia....kakaKaribu sana mkuu...tutafutane weekend
dozi yako ni muda wowote wataka mama watoto....
yeye anamiliki dagaa,mie namiliki ziwa Tanganyika....
my vin am out for a while..........
Nawaangalia kwa jicho moja hawa wote