Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
nakusubiri tindikali wangu...
cc Arushaone...
hahahaaa...... Lione,,, umeniitaje???? Ngoja nije!
Achana naye huyo Vin Diesel sijui vin mafutataa, hana nyimbo njoo huku kitandani mke wangu unikune hapa mgongoni, tulale. Kesho outing inatuhusu mpenzi.
ha haaaaa.... ngoja nicheke kwanza.....
kati ya vitu ambavyo siwazii vinaweza kuniachisha kwenye ndoa ni mapishi.... Aisee napenda kupika na ninaweza.....
Napika pilau la temeke na sijawahi ishi huko..... dagaa wa kigoma tena kwa mawese na sijawahi hata tembelea huko kigoma..... Sembuse macharali na wakati nimeishi moshi miaka 10!......
hivi namkaribishaje mzee wa kichaga nyumbani kwangu kwa msosi kama sijapika macharali ya migombani!!!!!!
nitake radhi rafiki..... tena hadharani
Rafiki hebu kuwa mpole kwanza ili huu upepo upite, halafu tutakaa kama kamati ili kuombana radhi....
lazima leo nikumalize Vin Diesel
hahahaaa...... Lione,,, umeniitaje???? Ngoja nije!
hatari sana.....
Achana naye huyo Vin Diesel sijui vin mafutataa, hana nyimbo njoo huku kitandani mke wangu unikune hapa mgongoni, tulale. Kesho outing inatuhusu mpenzi.
Lakini salama.
Njoo unimalize Dakitare wange.......
Njoo mama watoto tufanye uumbaji....hehe
Atakuja kukukuna mgongo...akimaliza atakuja huku kulala...usiulize nitamkuna wapi
Njoo unimalize Dakitare wange.......
Umeshamuita au nikusiadie kumuita?
Hivi nyie hamlalipo?
Huu muda wa kufanya matusi nyie mnaperuzi kwanini?
Hebu vitumikisheni vifanyio vyenu eboooo