Couples Verification!

Couples Verification!

hahahaaa...... Lione,,, umeniitaje???? Ngoja nije!

Achana naye huyo Vin Diesel sijui vin mafutataa, hana nyimbo njoo huku kitandani mke wangu unikune hapa mgongoni, tulale. Kesho outing inatuhusu mpenzi.
 
Last edited by a moderator:
ha haaaaa.... ngoja nicheke kwanza.....
kati ya vitu ambavyo siwazii vinaweza kuniachisha kwenye ndoa ni mapishi.... Aisee napenda kupika na ninaweza.....
Napika pilau la temeke na sijawahi ishi huko..... dagaa wa kigoma tena kwa mawese na sijawahi hata tembelea huko kigoma..... Sembuse macharali na wakati nimeishi moshi miaka 10!......
hivi namkaribishaje mzee wa kichaga nyumbani kwangu kwa msosi kama sijapika macharali ya migombani!!!!!!
nitake radhi rafiki..... tena hadharani

Rafiki hebu kuwa mpole kwanza ili huu upepo upite, halafu tutakaa kama kamati ili kuombana radhi....
 
Last edited by a moderator:
Hivi nyie hamlalipo?
Huu muda wa kufanya matusi nyie mnaperuzi kwanini?
Hebu vitumikisheni vifanyio vyenu eboooo

tufanye matusi muda wote kwani vimegandiana hebu acha tupumzike,,,, muda si mrefu tunaingia round ya tano
 
Back
Top Bottom