Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Hahahahahaaa
Madaktari wa siku hizi ukiwastress usiku wanakung'oa makorodani oooh shauri yako Vin Diesel
Bby you good...
....hali ya hatari hii!!!
na nna kumaliza kweli leo, haki ya nani huamki!!!!
...mke mwenza kuna nini?
hahahaaa... Halafu jitahidi awe chotara aisee!
Hujaacha tu shemAhsante mhe. mwenyekiti kwa kutambua kapo zetu. nina swali dogo la ziada eti tunaruhusiwa kuwa na smolu hausi?
Ha ha ha ha ha haaaaaKuna harufu ya mlunguraaaaaaaaaaa
Naona kweli umepania sana....mpaka sasa hatujaamka..
Hujaacha tu shem
mie ugomvi tu ndio siupendagi!
Hivi nyie hamlalipo?
Huu muda wa kufanya matusi nyie mnaperuzi kwanini?
Hebu vitumikisheni vifanyio vyenu eboooo
tufanye matusi muda wote kwani vimegandiana hebu acha tupumzike,,,, muda si mrefu tunaingia round ya tano