Couples Verification!

Couples Verification!

Hapo moyo wangu! sina la kusema jamani sijarogwa ni chaguo la moyo mahaba motomoto ninoyapata ndio yaliyokidhi moyo wangu; Mamndenyi wangu walimwengu watasema usiku watalala!

Hapo umefikishwa!
 
Last edited by a moderator:
Hivi nyie hamlalipo?
Huu muda wa kufanya matusi nyie mnaperuzi kwanini?
Hebu vitumikisheni vifanyio vyenu eboooo

Nina mpango wa kukupindua ndugu yangu.....nasikia kuna masurufu mazuri sana ya kuwa mwenyekiti....
 
Back
Top Bottom