Couples Verification!


kuna watu wanajua kujipa promo balaa chama usiwe na uhakika sana na wala usijiamini hivyo bana
 
Last edited by a moderator:
Bado hujanipenda, unanitania...

Kubali ku take risk...mi staki ku share na kama haitawezekana ngoja mi niwe nipo nipo kwanza

And this is dedication to you

Chochote Utapata - YouTube
KOKUTONA mbona nishakubali muda mrefu sana ni wewe tuu hujasema I do ndo maana nashangaa mpaka leo unasubiri nini aise kusema I do
 
Last edited by a moderator:
Tangu mpenzi wangu Smile anikimbie hata sijui huku kunaendeleaje!!! mahudhurio yangu yamekuwa hafifu hapa CC, nakuomba Erickb52 kwa cheo chako utusaidie. ila pia wazee Bishanga, Asprin, Mtambuzi, Judgement naombeni msaada wenu tafadhali ili Smile arudi tena, naahidi nitaonekana kwa kutosha hapa CC kama Smile atakubali kunirudia. moja ya sababu zilizomkimibiza ni kitendo cha mimi kubadili jina na kutumia Lucas badala ya smiling saint alilokuwa analipendea. Smile usipende jina penda mtu mama.... zawadi nono itatolewa ka atakayefanikisha kutupatanisha na smile
 
Last edited by a moderator:

Hivi uliachika eeh
Hahhahaa mwanaume haachwi Lucas
Vip mzima?
Sorry nilikuta nanii halafu sijananii hadi sasa hahahahaa
Nakuja chap
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…