Couples Verification!

Couples Verification!

Bishanga
Naona unajipa upiga debe kwa sangara waliooza kutoka Mwanza? Mamndenyi na Mr Rocky ni vitu viwili tofauti yaani jamaa haniumizi kichwa yupo kwenye ndoto tu hata thamani ya kuwa mtumishi wa ndani wa Mamndenyi haijapata;viwango vya Mamndenyi ni vya kimataifa!

kuna watu wanajua kujipa promo balaa chama usiwe na uhakika sana na wala usijiamini hivyo bana
 
Last edited by a moderator:
Tangu mpenzi wangu Smile anikimbie hata sijui huku kunaendeleaje!!! mahudhurio yangu yamekuwa hafifu hapa CC, nakuomba Erickb52 kwa cheo chako utusaidie. ila pia wazee Bishanga, Asprin, Mtambuzi, Judgement naombeni msaada wenu tafadhali ili Smile arudi tena, naahidi nitaonekana kwa kutosha hapa CC kama Smile atakubali kunirudia. moja ya sababu zilizomkimibiza ni kitendo cha mimi kubadili jina na kutumia Lucas badala ya smiling saint alilokuwa analipendea. Smile usipende jina penda mtu mama.... zawadi nono itatolewa ka atakayefanikisha kutupatanisha na smile
 
Hivi uliachika eeh
Hahhahaa mwanaume haachwi Lucas
Vip mzima?
Sorry nilikuta nanii halafu sijananii hadi sasa hahahahaa
Nakuja chap
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom