Couples Verification!

chama kweli unanipenda, asante sana,
Wape vyao na wakitaka wavimeze au waviteme ni shauri yao.

 
Last edited by a moderator:
chama tatizo lako una maneno mengi kama ahadi za CCM
 
Last edited by a moderator:
haiwezekani
ivi ivi?QUOTE=Erickb52;7391078]Hahahahhaaa mahaba[/QUOTE]
 

Sasa na wewe chama unaongea viwango vya sijui TFDA wakati hao hao ni magumashi matupu
Wanatutangazia alizeti ni feki wakati tunajua washapewa mlungula na mhindi wa korie na oki ili waendelee kuuza mafuta yao
Hakuna afadhali yoyote kati ya TBS na TFDA wote magumashi Mamndenyi hujambo Mtalaka wako wa zamani anakusalimia sana
Ukae salama na unasalimiwa na mke wangu mpendwa Dena Amsi
Halafu KOKUTONA nimekumiss wewe hebu kuja pande hizi unipe kiss
 
Last edited by a moderator:

Nitumie laki moja basi TIGO PESA beiby
 
mimi umenisahau Erickb52 au ndio mme wangu washamchukua jumlaa!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…