Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayetapatapa ni mkeo...mkanye.achane na mimi
Hahaahahahaa
Mbona umecheka sana Baba JR?
Afu nimekumisss ki ukweli ukweli ujue
Hahahahhaaa utajijuuu
Mr Rocky
Kama una uhakika na viwango vyako unakuwa huna wasiwasi; viwango vya Chama ni 100% FDA approved; wewe viwango vyako ni vya TBS magumashi matupu sasa hili la wewe kutaka kuingia kichwakichwa kwa Mamndenyi hiyo ni suicide mission ya nini ufe kabla ya wakati kwa kutaka mambo ambayo hulingani nayo? Nakupa ushauri wa bure leo jumapili kamatana mkono na Bujibuji muingie ufukweni Kigamboni mtakamatia vidagaa vilivyopotea njia
chama tatizo lako una maneno mengi kama ahadi za CCMMr Rocky
Kama una uhakika na viwango vyako unakuwa huna wasiwasi; viwango vya Chama ni 100% FDA approved; wewe viwango vyako ni vya TBS magumashi matupu sasa hili la wewe kutaka kuingia kichwakichwa kwa Mamndenyi hiyo ni suicide mission ya nini ufe kabla ya wakati kwa kutaka mambo ambayo hulingani nayo? Nakupa ushauri wa bure leo jumapili kamatana mkono na Bujibuji muingie ufukweni Kigamboni mtakamatia vidagaa vilivyopotea njia
Mmmmmmmmhtufanye matusi muda wote kwani vimegandiana hebu acha tupumzike,,,, muda si mrefu tunaingia round ya tano
Umesahau Prefix ...Kum@...manina wewe hahahaaa.......
Mr Rocky
Kama una uhakika na viwango vyako unakuwa huna wasiwasi; viwango vya Chama ni 100% FDA approved; wewe viwango vyako ni vya TBS magumashi matupu sasa hili la wewe kutaka kuingia kichwakichwa kwa Mamndenyi hiyo ni suicide mission ya nini ufe kabla ya wakati kwa kutaka mambo ambayo hulingani nayo? Nakupa ushauri wa bure leo jumapili kamatana mkono na Bujibuji muingie ufukweni Kigamboni mtakamatia vidagaa vilivyopotea njia
Sasa na wewe chama unaongea viwango vya sijui TFDA wakati hao hao ni magumashi matupu
Wanatutangazia alizeti ni feki wakati tunajua washapewa mlungula na mhindi wa korie na oki ili waendelee kuuza mafuta yao
Hakuna afadhali yoyote kati ya TBS na TFDA wote magumashi Mamndenyi hujambo Mtalaka wako wa zamani anakusalimia sana
Ukae salama na unasalimiwa na mke wangu mpendwa Dena Amsi
Halafu KOKUTONA nimekumiss wewe hebu kuja pande hizi unipe kiss