Muda mwingine unakuwa na akili kumbe
Ndio mana ukawa mwenyekitiHello wanajamvi!
Ninaomba kuweka wazi couples ninazozitambua hadi sasa na kama kuna ambao nimewasahau naomba wajitambulishe haraka tafadhari.
- Erickb52 na Chocs
- watu8 na measkron
- marejesho na Filipo
- DEMBA na Kaizer
- Arushaone na Lady doctor
- Arabela na nitonye
- Judgement na YNNAH
- zubedayo_mchuzi na mimi49
- Kabakabana na uporoto01
- sosoliso na Paloma
- Bishanga na The secretary
- Mungi na Lily Flower
- Mr Rocky na Dena Amsi
- Cantalisia na Rejao
- @c6 na charminglady
Kwa sasa naomba kuwatambua hawa....!
Wafuatao nimeshindwa kujua status zao! Madame B , Chimbuvu Ben Saanane Evelyn Salt Heaven on earth C6 charminglady beibe nasty Slave stevoh PakaJimmy sweetlady Vin Diesel Mamndenyi Dena Amsi Avemaria Nicas Mtei BAGAH Lucas KakaKiiza Nivea amu Mzee Mentor TANMO Preta mtu chake Blaki Womani Remmy snowhite gfsonwin ladyfurahia Mrembo by Nature na wote ambao sijawamention.
Hivyo naomba mnijulishe kama mko single au occupied au kama mna wanaume saba au wanawake saba saba the tujue tunafanyaje.
Mwenye malalamiko aseme na atasikilizwa na kamati nzima.
I remain
Erickb52
Mwenyekiti
Bujibujichama tatizo lako una maneno mengi kama ahadi za CCM
Mr RockySasa na wewe chama unaongea viwango vya sijui TFDA wakati hao hao ni magumashi matupu
Wanatutangazia alizeti ni feki wakati tunajua washapewa mlungula na mhindi wa korie na oki ili waendelee kuuza mafuta yao
Hakuna afadhali yoyote kati ya TBS na TFDA wote magumashi Mamndenyi hujambo Mtalaka wako wa zamani anakusalimia sana
Ukae salama na unasalimiwa na mke wangu mpendwa Dena Amsi
Halafu KOKUTONA nimekumiss wewe hebu kuja pande hizi unipe kiss
Hello wanajamvi!
Ninaomba kuweka wazi couples ninazozitambua hadi sasa na kama kuna ambao nimewasahau naomba wajitambulishe haraka tafadhari.
- Erickb52 na Chocs
- watu8 na measkron
- marejesho na Filipo
- DEMBA na Kaizer
- Arushaone na Lady doctor
- Arabela na nitonye
- Judgement na YNNAH
- zubedayo_mchuzi na mimi49
- Kabakabana na uporoto01
- sosoliso na Paloma
- Bishanga na The secretary
- Mungi na Lily Flower
- Mr Rocky na Dena Amsi
- Cantalisia na Rejao
- @c6 na charminglady
Kwa sasa naomba kuwatambua hawa....!
Wafuatao nimeshindwa kujua status zao! Madame B , Chimbuvu Ben Saanane Evelyn Salt Heaven on earth C6 charminglady beibe nasty Slave stevoh PakaJimmy sweetlady Vin Diesel Mamndenyi Dena Amsi Avemaria Nicas Mtei BAGAH Lucas KakaKiiza Nivea amu Mzee Mentor TANMO Preta mtu chake Blaki Womani Remmy snowhite gfsonwin ladyfurahia Mrembo by Nature na wote ambao sijawamention.
Hivyo naomba mnijulishe kama mko single au occupied au kama mna wanaume saba au wanawake saba saba the tujue tunafanyaje.
Mwenye malalamiko aseme na atasikilizwa na kamati nzima.
I remain
Erickb52
Mwenyekiti
Salamu nimezipata best
Hahahaa nina raha mama Jr
Raha yangu ni raha yako. BE HAPPY
mie mzima best, nakumiss tuUko powa rafiki?
mie mzima best, nakumiss tu
Na mimi hamjanioza?
Chali....chezea Magufuli.Hizi ndoa zilizofungwa humu bado zina exist au chali tayari?
Madame B huendi msibani?Chali....chezea Magufuli.
Anatumbua mpaka ndoa na uchumba sugu