Couples Verification!

Couples Verification!

Hello wanajamvi!
Ninaomba kuweka wazi couples ninazozitambua hadi sasa na kama kuna ambao nimewasahau naomba wajitambulishe haraka tafadhari.

Kwa sasa naomba kuwatambua hawa....!
Wafuatao nimeshindwa kujua status zao! Madame B , Chimbuvu Ben Saanane Evelyn Salt Heaven on earth C6 charminglady beibe nasty Slave stevoh PakaJimmy sweetlady Vin Diesel Mamndenyi Dena Amsi Avemaria Nicas Mtei BAGAH Lucas KakaKiiza Nivea amu Mzee Mentor TANMO Preta mtu chake Blaki Womani Remmy snowhite gfsonwin ladyfurahia Mrembo by Nature na wote ambao sijawamention.
Hivyo naomba mnijulishe kama mko single au occupied au kama mna wanaume saba au wanawake saba saba the tujue tunafanyaje.
Mwenye malalamiko aseme na atasikilizwa na kamati nzima.

I remain
Erickb52
Mwenyekiti
Ndio mana ukawa mwenyekiti
 
chama tatizo lako una maneno mengi kama ahadi za CCM
Bujibuji
Naona unapagawa kwa kutamani vitu vyenye viwango vilivyokuzidi hivi kifaa kama Mamndenyi utakimudu kwa maneno matupu? mkuu mambo ya mchuzi wa vidagaa tena vya chukuchuku Mamndenyi hatumii hata paka wake hali mchuzi wa chukuchuku shauri yako utaishia kuvitolea macho!
 
Last edited by a moderator:
Sasa na wewe chama unaongea viwango vya sijui TFDA wakati hao hao ni magumashi matupu
Wanatutangazia alizeti ni feki wakati tunajua washapewa mlungula na mhindi wa korie na oki ili waendelee kuuza mafuta yao
Hakuna afadhali yoyote kati ya TBS na TFDA wote magumashi Mamndenyi hujambo Mtalaka wako wa zamani anakusalimia sana
Ukae salama na unasalimiwa na mke wangu mpendwa Dena Amsi
Halafu KOKUTONA nimekumiss wewe hebu kuja pande hizi unipe kiss
Mr Rocky
Kila siku nakuambia hii game sio saizi hiyo TFDA ndio kitu gani tena? hiyo TFDA ndiyo viwango vyako magumashi matupu unaona sasa game la Mamndenyi limekushinda unataka kujigeuza kuwadi kuwapigia debe wenzio; Mkuu naona umechanganyikiwa sana wewe endelea na hizo bidhaa za TBS Mamndenyi alishaacha kula michicha ya maji machafu ya Tandale anatumia vitu vyenye viwango vya USFDA
 
Last edited by a moderator:
Hello wanajamvi!
Ninaomba kuweka wazi couples ninazozitambua hadi sasa na kama kuna ambao nimewasahau naomba wajitambulishe haraka tafadhari.

Kwa sasa naomba kuwatambua hawa....!
Wafuatao nimeshindwa kujua status zao! Madame B , Chimbuvu Ben Saanane Evelyn Salt Heaven on earth C6 charminglady beibe nasty Slave stevoh PakaJimmy sweetlady Vin Diesel Mamndenyi Dena Amsi Avemaria Nicas Mtei BAGAH Lucas KakaKiiza Nivea amu Mzee Mentor TANMO Preta mtu chake Blaki Womani Remmy snowhite gfsonwin ladyfurahia Mrembo by Nature na wote ambao sijawamention.
Hivyo naomba mnijulishe kama mko single au occupied au kama mna wanaume saba au wanawake saba saba the tujue tunafanyaje.
Mwenye malalamiko aseme na atasikilizwa na kamati nzima.

I remain
Erickb52
Mwenyekiti

Hahahahahah! Shemeji unataka kuanzisha daftari la kudumu la wanandoa? Au ndo gea ya kumvizia mtu hapa jukwaani ili uwajue wapinzani wako manake shemeji yangu huaminiki, yaani maji kupwa, maji kujaa!
 
Back
Top Bottom