Uzuri ushamuelewa tayar vizuri sana. ila mara ingine huwa mnachangia yawatokee mana mda anataka mwanaume anajiremba kushinda dem nini kitafata apo mwanaume wa kweli hawezi mponda mwanamke hata aweje labda kumkwepa ki staraabuHakuwa mtakaji, usipohitaji hukosi sababu.
Huyo uliye mtaj couple yke huko nyuma ishatajwa zamaniii mnoHahaha kwa nn
Chagua mmoja uwe una like posts zake hata kama ni pumba.....Nakomaaa macho kodo lakin hakuna hata aliesema kwa utani tu ha ha ha imekula kwangu hii
Manga upoo, miss wewe mnoooUzuri ushamuelewa tayar vizuri sana. ila mara ingine huwa mnachangia yawatokee mana mda anataka mwanaume anajiremba kushinda dem nini kitafata apo mwanaume wa kweli hawezi mponda mwanamke hata aweje labda kumkwepa ki staraabu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona upo kinyonge sana
Tatizo mi sina upendeleo maadamu ni mwana jf naweka like kwa yyte,nacheka na yyte,namheshim yyte,na namtaka yyte vile vile.. Ha ha haChagua mmoja uwe una like posts zake hata kama ni pumba.....
mkuu,naona kila mtu anataja wake tu lakini hakuna anayevutika kwangu hata.mkuu wachumba wote hao... hata nanihii yule humtaki..!!!!!
Ha ha haaaa ndivyo mnavyo fanyaChagua mmoja uwe una like posts zake hata kama ni pumba.....
Mii zaidi ya mnoo uko powa wewe?Manga upoo, miss wewe mnooo
Shunie na Husna walikuwa wanakuulizia... Umewaona???
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]yani wewe ni very smart
Unajitambua sanaa. Kama Inna
Lazima uanze kujipendekeza.Ha ha haaaa ndivyo mnavyo fanya
Sawa mkuuLazima uanze kujipendekeza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanatuonea atiiiSitaki tena mitongozo ya JF, kuna niliyemtumia picha akasema mimi ni kama sanamu la michelin sina hamu.
Mi staki aiseee[emoji2][emoji2][emoji2]Eti yani 2 tu bola angekaa kimya
Hutaki mwenza unaishje wewe?Mi staki aiseee[emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mkuu,naona kila mtu anataja wake tu lakini hakuna anayevutika kwangu hata.
Bora upweke kuliko furaha ya mkopo[emoji23][emoji23][emoji23]Hutaki mwenza unaishje wewe?
Usiumize kichwa mikopo ipo tu unahamia kwa mangi mwingine unakopa ndo life la kisasa upweke zamani hukoBora upweke kuliko furaha ya mkopo[emoji23][emoji23][emoji23]
Mpenzi sampuli ya Daby hapana aiseee[emoji28][emoji28][emoji28]Usiumize kichwa mikopo ipo tu unahamia kwa mangi mwingine unakopa ndo life la kisasa upweke zamani huko