Couples za JamiiForums

Couples za JamiiForums

Uzuri ushamuelewa tayar vizuri sana. ila mara ingine huwa mnachangia yawatokee mana mda anataka mwanaume anajiremba kushinda dem nini kitafata apo mwanaume wa kweli hawezi mponda mwanamke hata aweje labda kumkwepa ki staraabu
Manga upoo, miss wewe mnooo
Shunie na Husna walikuwa wanakuulizia... Umewaona???
 
Sitaki tena mitongozo ya JF, kuna niliyemtumia picha akasema mimi ni kama sanamu la michelin sina hamu.
michelin_logo_23691.gif
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanatuonea atiii
 
Back
Top Bottom