Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
[emoji24] [emoji24] [emoji24]Huyo Daby Ni Mali ya umma.....
Siku ukikosea ukijitangaza unaachwa!πππHizo sinema tu....wenye wapenzi wetu humu hatuwezi kujitangaza!
[emoji24] [emoji24] [emoji24]daby ni wa kila mwanamke
Jamani honeyyy unapita wenda api tena uko ,basi ngoja nkufate ukouko staki achwa nyuma mie[emoji124][emoji125]Napita kusalimia tu[emoji122][emoji122]
Niachwe na nani? Mimi siwezi kupata mwanamke humu huwa nawapa makavu live...Siku ukikosea ukijitangaza unaachwa!πππ
Nimesema sampuli sijasema yeye. LolKama lazima awe Daby basi acha ha ha haaa
Na mlivo natabia ya kupenda anapo penda mwenzenu akitaka atakukula tu
Bado monitor nakufuatilia,nitakukamata tu!πππDaby akipigwa ban ninahama nchi.
Mpaka uwape makavu wanakuja wenyewe huko au sijaelewa?Niachwe na nani? Mimi siwezi kupata mwanamke humu huwa nawapa makavu live...
Haya unayosoma hapa ni jokes tu, yale ya kumoyo kabisa hayawekwi hapa.Bado monitor nakufuatilia,nitakukamata tu!πππ
Dada yangu wa hiari nakuona!nakuona!!πManga upoo, miss wewe mnooo
Shunie na Husna walikuwa wanakuulizia... Umewaona???
Nimepata taarifa hapa kuwa wewe ni kinara wa kugundua na kutabiria watu couples,hebu nitabirie mimi vile!πππNiachwe na nani? Mimi siwezi kupata mwanamke humu huwa nawapa makavu live...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Haya unayosoma hapa ni jokes tu, yale ya kumoyo kabisa hayawekwi hapa.
Sina maneno matamu wanayopenda kusikia.Mpaka uwape makavu wanakuja wenyewe huko au sijaelewa?
Nilitaka kumwambia mtoa mada awasiliane na wewe umpe list....ila natabiri couple mya ni wewe na Miss NatafutaNimepata taarifa hapa kuwa wewe ni kinara wa kugundua na kutabiria watu couples,hebu nitabirie mimi vile!πππ
Nimekuelewa sana hapaSina maneno matamu wanayopenda kusikia.