Couples za JamiiForums

Asikutishe huyo!!! Nimekuchagua wewe!!!
Umemchagua yeye serious? Maana yake nimeshapoteza pambano hata kabla ya pambano lenyewe?

Ila bigmind jihadhari. Usiombe pambano na mimi. Utalia na kusagana mbupu
We mchokozi!!! Wenzako hatukua exclusive
Nilijua tu utamchagua yeye hivyo nikaamua kuwaaddress kwa jamii.
 
Umemchagua yeye serious? Maana yake nimeshapoteza pambano hata kabla ya pambano lenyewe?

Ila bigmind jihadhari. Usiombe pambano na mimi. Utalia na kusagana mbupu

Nilijua tu utamchagua yeye hivyo nikaamua kuwaaddress kwa jamii.
Najua mngepambana ungeniumizia bigmind wangu...
Sitaki ata ukucha wake ukatike..!
Bigmind ni my number one, wengine wote ni michepuko [emoji16][emoji16][emoji16]
 
hahahahhahaha yan Jf raha sana yan full vituko na maigizo yan kuna watu nawajua kabisa wana ID zaid ya Moja za kike na kiume et naye anazitaja wakati ndo yeye yani..Aisee Bongo movie wapo kila kona yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…