Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
- Thread starter
- #221
Ila Unfair Dada angundiyo mkuu nitampoteza maboya asahahu kutaka hiyo mambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Unfair Dada angundiyo mkuu nitampoteza maboya asahahu kutaka hiyo mambo
Imetajwa huko nyuma rudi uitafuteNimempumzisha kwanza Mwanafunzi asome. Enhee, we couple yako nani?
Umemkubali Saint Ivuga?Imetajwa huko nyuma rudi uitafute
kunikojelea na kunipandia pandia ndio fair?Ila Unfair Dada angu
Hapana. Muulize mwenyewe decent girl InnaDuuuuh unalazimishaaaa
Kwan ndo nmetajwa nae?Umemkubali Saint Ivuga?
Ndiyo. Sijaona mwingine. Ni nani Mkuu?Kwan ndo nmetajwa nae?
Inaa ysijibu jibu maswali ambayo hayana miguu wala kichwa wanakuzingua hao watoto.Kwan ndo nmetajwa nae?
Usiwaze sister. Second year now, hope atamaliza mwakani kama ataweza kuhimili mishale ya Supp na Disco. Hahaha, 2019 mambo yakienda vema vitu vingine vitafata.
Babu Daby& bibi espy
Afadhali umekuja kuona mashtaka yako.Bro, ujue tumeishi wote chai? Sikutegemea kama wewe ni wa kumsaliti Daby
Kwani juzi tulikuwa tunaongelea nini Joy kati yangu na wewe?
Mzee mwenzangu. Hizo ni sabotages
Jirani mungu anakuona.
Dada yangu unamaanisha kweli?? Asa mtu atakulajekila mtu ale uchi wake
Ha ha ha ! Ndio maana jamaa wamegoma kuhongwa.Daby akipigwa ban ninahama nchi.
Tutafanya movement free Daby na hiyo itawekwa kwenye women forum.Ha ha ha ! Ndio maana jamaa wamegoma kuhongwa.
Wanasema jukwaa litajaa thread za wadada wakilia lia.
Hapa namtafuta mod mwenye njaa ambaye hajui kinachoendelea jukwaa la mahusiano na chit chat.
Hahahah..Tutafanya movement free Daby na hiyo itawekwa kwenye women forum.
Hilo litaanzishwa na wahanga wa Daby.Hahahah..
Hilo jukwaa liko wapi? Au nalo lina kufuli kama lile la wakubwa kule chini?
Una tabia mbaya sana my wii.Na usinisemeshe kabisaaaaaaa[emoji23] [emoji23]