Couples za JamiiForums

Couples za JamiiForums

Bro, ujue tumeishi wote chai? Sikutegemea kama wewe ni wa kumsaliti Daby

Kwani juzi tulikuwa tunaongelea nini Joy kati yangu na wewe?

Mzee mwenzangu. Hizo ni sabotages

Jirani mungu anakuona.
Afadhali umekuja kuona mashtaka yako.
 
Yani ndugu yangu Daby pamoja na u hendsome na pesa zako nyingi ila CV limeshaingia matope .
Ha ha ah yani wadada wote at last wameshaelewa japo ni too late umeshawapiga wengi ila at last wameelewa somo.

Bora wakukimbie tu sa hivi wasije wakatuulia ndugu yetu.
 
Back
Top Bottom