Pambana na hali yako
Na we ukaamua kuchocheaMuosha rungu
Me sitaki hilo gari lipite tu
Acha sakayo apambane na mahusiano yakeNa we ukaamua kuchochea
nimeinunua paleeeee posta hahahahahaze dudu me simu yako tu ujue
Hiyo simu ni kiboko ujue ze dudu mpaka location ya uliponunuanimeinunua paleeeee posta hahahahaha
sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
AhahhahAcha sakayo apambane na mahusiano yake
Tena dada ake kwa humu mmmh. Hadi nawaogopa miee.Watu wapo dada kwa ajili ya kuiba ujue
Unamcheka ???Ahahhah
Najua dada akee acha tu na walivyojaa nyaku nyaku [emoji3]Tena dada ake kwa humu ndio wengi. Hadi nawaogopa miee.
nimelipiga promo duka kabisa sitaki shida ya kufatwa pm niwaambie nimeinunua wapi...... halafu mbona uzi mwingine huuHiyo simu ni kiboko ujue ze dudu mpaka location ya uliponunua
Mmh nimecheka ulivyoongea jaman naanzaje kumcheka dada angu mieUnamcheka ???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimelipiga promo duka kabisa sitaki shida ya kufatwa pm niwaambie nimeinunua wapi...... halafu mbona uzi mwingine huu
sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
Wameunganisha hawa modsnimelipiga promo duka kabisa sitaki shida ya kufatwa pm niwaambie nimeinunua wapi...... halafu mbona uzi mwingine huu
sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
Hahaaa. Na ni manyaku nyaku kweli. Hawataki kupambana na hali zao. [emoji125] [emoji125]Najua dada akee acha tu na walivyojaa nyaku nyaku [emoji3]
Kesii hiyo ngoja aajeeMmh nimecheka ulivyoongea jaman naanzaje kumcheka dada angu mie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanataka kupambana na hali za wenzao washindwe kabisaaHahaaa. Na ni manyaku nyaku kweli. Hawataki kupambana na hali zao. [emoji125] [emoji125]
Ndo nini sasaaa hiyoo, em nirudishie mtu wangu mieeNajua huwezi amini Bali hawa ni watu wanaopendana sana hapa jf kama wapenzi
Kiasi kwamba wapo tayari kuanzisha uchumba au hata ndoa any time
Usishangaa ukisikia siku moja card za wedding zinasambazwa we tega tu sikio lako!!
Kwa kuwa kumpenda mtu iko moyoni hawajataka kuweka wazi ila
Mda ukuta! Ukifka watafunguka tu
Wewe utajisikiaje kuhudhuria harusi zao mathalani na ipi couple ungependa uwe mwanakamati kuu!!
Mshana Jr and ruby
Smart and mzigua90
Sakayo and BAK
Saint ivuga and Generove
Miss chagga and B40
Faiza fox and padri mcharo
Ontario and Demi
Gudume and mbitiyaza
Mondray and miss natafuta
Hence mtanashat and Cajojo
Evelyn salt and kikulachochako
Asprin and khantwe
Eskyt and shekidede
Transcend and inna
Muosha rungu and money talk
Lemutuz and cocochalate
Mahondaw and The bold
Unadhani watapendezea au vipi
Ustarabu uzingatiwe!!
Sent using Jamii Forums mobile app