Always Nina nyota miye you see! bold nae namwonaga mzungu sana kwakweli though hata ile kusalimiana nae tu humu sijawahi. Yani. Never Huwa Nasoma post zake hakika ni mwanaume bora hata nimesingiziwa nahuyo asee. ( it's jus appreciations bandugu don't quote me wrong meeennnnnnn)Wewe umependelewa
Babu ni wa awali ujue... Halafu mie sijuagi kusema uongo!!!Na babu jeee
Vipiiii tena[emoji101] [emoji101] [emoji101]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaa
Nafwa mieee
Foleni ya kutajwa bhanaaNa hiyo foleni anayosemea muosha rungu ilikua ya nini au ndio foleni za michango ya BAK
Nawewe Hujaopolewa mnew kweli!Wewe umependelewa
Rafik upo,kwema huko!Always Nina nyota miye you see! bold nae namwonaga mzungu sana kwakweli though hata ile kusalimiana nae tu humu sijawahi. Yani. Never Huwa Nasoma post zake hakika ni mwanaume bora hata nimesingiziwa nahuyo asee.
-Smart911 fits only mahondaw
-Nifah na bold wake pia wanaendana.
Hata humu washasema sana ndege wafananao huruka pamoja sasa bold na habari za ku cc ana wapi na wapi!
Chinekeeeeeeeeeeeeeeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna information zinatafutwa humu I can see
Mahondaw wa Smart911
Safi sana
ByeNgoja niwakimbieee
Utashangaa
SawaFoleni ya kutajwa bhanaa
Kwa hiyo
Rafiki rafiki nakucheki nakucheki!Aisee Nina machale balaa sio kwaile interview nilotaka kufanyiwa jana!! mimi huyo kha kha . Najua Ingejaa maswali ya kishambenga tu
Mahondaw wa Smart911
Sijui sasaAu huyo aliyemwandika T nae ni mbabe wake
Tupo kawaida bhanaa, au unataka nimnunieNajua dada lakini si mliachana nashangaa kuona kama mmerudiana tena hivii
Sawa