Hahaa watu mna maneno khaa!
Kwa hiyo unamaanisha yule demu anaemsifia jamaa yake ana njaa kali sio[emoji23][emoji23][emoji23] watu mna maneno sio ya nchi hiii ni ya korea kaskazini
Lakin si kuna siku mnachart [emoji23]Ni njaa tu kama hatimizi hizo shibe za yule dada ndo wanaanzaga kusumbua vile. Wewe mwanamke unamuacha home unaenda mishe halafu anakutafuta simu 10 meseji rundo eti i miss u. Tuchat
Mi sijazaliwa kuchat. Nimezaliwa kutafuta
Ha ha ha mwanamke ndo anajitutumua mno wakati jamaa yupo coolhapana mimi naona mwanaume ndio anatumia nguvu kubwa sana hahahahahaha
Ulimbukeni si kidogo ha ha ha mi nasubiri wamwagane team roho mbaya.....Lakini nika urimbukeni flan hivi
Hahahahahahahah team roho mbayaa ,utafanyaje utacheza fireUlimbukeni si kidogo ha ha ha mi nasubiri wamwagane team roho mbaya.....
Msuto wa kizaramo huo, matarumbeta, sare ya madera na keki juu lolLoooh huo sasa msuto wa mloo looh
Nitafungua champaign ha ha haHahahahahahahah team roho mbayaa ,utafanyaje utacheza fire
Sawa kabisa,hapa hawachangii kabisaNitafungua champaign ha ha ha
Katanisuta ha ha ha nakajuaAyaaa nipe basi ubuyuuuuu
Hivi Gea wewe una kapo humu?Lakin si kuna siku mnachat [emoji23]
Mi sina yangu ip nje jf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Gea wewe una kapo humu?
Couple ipi hiyo?Acheni umbea waacheni watu wapendane...!! Hii thread naona inaongelea couple moja tu....!! Waanzishieni uzi mwingine bhas muwa discuss wao wawili...!!
Ahahahah nishawajua atiKatanisuta ha ha ha nakajua
Koh koh [emoji3][emoji3]Mi sina yangu ip nje jf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio ile kapo ya cc king cc queen, hawa ni wengine ha haAhahahah nishawajua ati
Akiwataja nistue geaAhhahaha watajeee [emoji23][emoji23]