Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Cc Mahondah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀
Mi naona mwanamke ndo anatumia nguvu sana ha ha ha ha nakuona nakuonaaaaa
NAHIS KUIHIS
Kituko mungu anakuona kwa moto uliouwasha humu. Mi nasikiaga watu wakisema sana kuhusu jux &vanessa, Jay z & beyonce ndio maana nikaanzisha uzi kumbe na humu wapo.Kuna couple imo humu JF mwanaume anatumia nguvu sana kumlazimisha mwanamke
Kituko mungu anakuona kwa moto uliouwasha humu. Mi nasikiaga watu wakisema sana kuhusu jux &vanessa, Jay z & beyonce ndio maana nikaanzisha uzi kumbe na humu wapo.
Kuna couple imo humu JF mwanaume anatumia nguvu sana kumlazimisha mwanamke
😀😀😀
Mi naona mwanamke ndo anatumia nguvu sana ha ha ha ha nakuona nakuonaaaaa
hapana mimi naona mwanaume ndio anatumia nguvu kubwa sana hahahahahaha
Nimeshayajua yale mamtu mawili
Mwanamke ndo anafos kingi. Kwakua mwanaume ndo anabidi akusifie sifie na kukutaja taja. Ila demu akikusifia sana ujue ana njaa
1:njaa ya dushe
2:njaa ya hela/tumbo kunguruma/msosi
3:njaa ya ndoa
Sio kwamba anakupenda(ni kwamba imemlazimu tu)
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ulimbukeni si kidogo ha ha ha mi nasubiri wamwagane team roho mbaya.....
Ngoja nitafute sare kabis msuto ukikukolea sikuazimi jesh languMsuto wa kizaramo huo, matarumbeta, sare ya madera na keki juu lol
Hiyo nyingine, na hiyo iko wazi zaidi wala haijifichi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]cc mis natafutaHawasemi ila upepo tu utabadilika na thread za malalamiko zitaanza, yani wanaume jamani wanaume sio watu ha ha utadhani wakati anadate nae alikua anadate na jiwe
Ila mimi sikulenga couples za humu jf maana mi mgeni humu.Kaka bora uufute huu uzi, hauna mwisho mzuri kaka, mi sijamtaja mtu jna
Looh mpk huku ushafika[emoji23] [emoji23] [emoji23] ushafika
Nilivyoona kichwa cha habari ikabidi niufungue huu uzi nimejikuta nimeupenda kila saa nakuja kuchunguliaLooh mpk huku ushafika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilivyoona kichwa cha habari ikabidi niufungue huu uzi nimejikuta nimeupenda kila saa nakuja kuchungulia
Cjui kwanini hampendaniHa ha ha mwanamke ndo anajitutumua mno wakati jamaa yupo cool
Japo una kitambi bado nakupenda dear,tuibuke na couple yetu please!Watu washagawachoka nadhani [emoji23]
Nasubiri msuto vijora vya sare mje kwangu nitawakopeshaLooh mpk huku ushafika
Ngoja nikuje nichukue kimoj kabl havijesha loohNasubiri msuto vijora vya sare mje kwangu nitawakopesha