Couples zisizoendana

Couples zisizoendana

Kuna couple imo humu JF mwanaume anatumia nguvu sana kumlazimisha mwanamke
Kituko mungu anakuona kwa moto uliouwasha humu. Mi nasikiaga watu wakisema sana kuhusu jux &vanessa, Jay z & beyonce ndio maana nikaanzisha uzi kumbe na humu wapo.
 
Kuna couple imo humu JF mwanaume anatumia nguvu sana kumlazimisha mwanamke


Enheeee



😀😀😀
Mi naona mwanamke ndo anatumia nguvu sana ha ha ha ha nakuona nakuonaaaaa


Wachaaa mambo yako bhana!


hapana mimi naona mwanaume ndio anatumia nguvu kubwa sana hahahahahaha

Waswahili wanasema wengi wape!



Nimeshayajua yale mamtu mawili

Mwanamke ndo anafos kingi. Kwakua mwanaume ndo anabidi akusifie sifie na kukutaja taja. Ila demu akikusifia sana ujue ana njaa
1:njaa ya dushe
2:njaa ya hela/tumbo kunguruma/msosi
3:njaa ya ndoa

Sio kwamba anakupenda(ni kwamba imemlazimu tu)


Weeee!!!
 
Back
Top Bottom