Couples zisizoendana

Couples zisizoendana

Hahaa watu mna maneno khaa!

Ndo ukweli huo
We mwanaume ukazane unachat na demu siku nzima i miss u i miss u beby mtakula beby hizo???

Hao watoto mkizaa mtasomesha kwa bebi??

Call me old school/conservative or whatever ila beby ana muda wake anapangiwa jioni. Sio kila saa meseji 30 missed call 10 anakwambia beby tupige stori.
Mwanaume hakuzaliwa kupiga mastori. Ukiona hivyo unamtimizia njaa yake ya njaa yake unapiga chini
 
Kwa hiyo unamaanisha yule demu anaemsifia jamaa yake ana njaa kali sio[emoji23][emoji23][emoji23] watu mna maneno sio ya nchi hiii ni ya korea kaskazini

Ni njaa tu kama hatimizi hizo shibe za yule dada ndo wanaanzaga kusumbua vile. Wewe mwanamke unamuacha home unaenda mishe halafu anakutafuta simu 10 meseji rundo eti i miss u. Tuchat

Mi sijazaliwa kuchat. Nimezaliwa kutafuta
 
Lakin si kuna siku mnachart [emoji23]
 
Acheni umbea waacheni watu wapendane...!! Hii thread naona inaongelea couple moja tu....!! Waanzishieni uzi mwingine bhas muwa discuss wao wawili...!!

Au mnawaogopa..??
 
Back
Top Bottom