Couples zisizoendana

Couples zisizoendana

Mmmhhh watu wanatamani watu waachane Tena 'kapicha Kako ntakapost wasokupenda itawakost' Waacheni wapendane hata nyie mna wa kwenu mtaani Huko.
 
Hivi hizi couples za huku JF ni real au ni virtual tuu. Nashangaa jinsi zinavyochukuliwa seriously.
 
Dah.... Asikudanganye mtu... Ili Couple isavaivu inahitajika kuwepo na vitu viwili tu.... PESA na SEKS za kutosha [emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom