Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Mmmhhh watu wanatamani watu waachane Tena 'kapicha Kako ntakapost wasokupenda itawakost' Waacheni wapendane hata nyie mna wa kwenu mtaani Huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmhhh watu wanatamani watu waachane Tena 'kapicha Kako ntakapost wasokupenda itawakost' Waacheni wapendane hata nyie mna wa kwenu mtaani Huko.
Umepata shoga mpya huko whatsapp??
Bora umekujaaa mambo yakuibiwa simu namba Hanna nawe kimyaaaa
Mmh mh mh. Kweli ushoga kazi
Hivi hizi couples za huku JF ni real au ni virtual tuu. Nashangaa jinsi zinavyochukuliwa seriously.
[emoji13] [emoji13]Makomeo & Janeth
Bila kupoteza muda, kila mtu ana vigezo vyake katika kuchagua ni yupi awe naye. kwa mtazamo wako ni couple gani ya watu maarufu ambayo huwa unaona wahusika hawaendani kabisa katika vitu mbalimbali mfano mwonekano.
Karibuni.
Ni mapito tu duniani.
Kuna wajamaa walitangaza mpaka ndoa humu vurugu fujo walipoishia hapajulikani
Nani ana michepuko my dear?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio! tupunguze na idadi ya michepuko
Mahusiano bila sex ni unduguDah.... Asikudanganye mtu... Ili Couple isavaivu inahitajika kuwepo na vitu viwili tu.... PESA na SEKS za kutosha [emoji13] [emoji13]
Nani ana michepuko my dear?[emoji23] [emoji23] [emoji23]