Couples zisizoendana

Couples zisizoendana

Hawasemi ila upepo tu utabadilika na thread za malalamiko zitaanza, yani wanaume jamani wanaume sio watu ha ha utadhani wakati anadate nae alikua anadate na jiwe
Hahaha mapenzi mapenzini..
 
Mahonda na Smati

Hii couple imefosiwa kabisa hii, maana wangekuwa wanaendana kama mmoja akili yake fyatu basi mmoja angemtuliza mwenzie, tatizo wote holaaaa kwahiyo wana qualify kuingia kwenye hiyo bracket ya couple zisizoendana.
 
Nimeshayajua yale mamtu mawili

Mwanamke ndo anafos kingi. Kwakua mwanaume ndo anabidi akusifie sifie na kukutaja taja. Ila demu akikusifia sana ujue ana njaa
1:njaa ya dushe
2:njaa ya hela/tumbo kunguruma/msosi
3:njaa ya ndoa

Sio kwamba anakupenda(ni kwamba imemlazimu tu)

Hatari sana
 
Back
Top Bottom