Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa
HahahaMalizia bhas yaan mmeo anazidiwa na bean make huwez mtaja bila kusema mr Bean
Kwa nini akamuandikia T mwengine, jiulize hilo kwanzaMjue mnanichanganya dada mlikutana wapi na muosha rungu mpaka akafikia kukuandika kwa nini asingemwandika mtu mwingine dada
Inashangaza sanaShangaa na wewe, kwamba huruhusiwi kutoa mtazamo wako kisa wambea... Sijafunzwa woga mie huwa nasema ninachoamini
Utatoa kojo hata kwa mrija
Tunapendana kama mtu na X wakeKumbee ???
Lakini bado yupo moyoni na mnapendana ??
Kwani hujuiEeeenh
NakujaNgoja niwakimbieee
Au huyo aliyemwandika T nae ni mbabe wakeKwa nini akamuandikia T mwengine, jiulize hilo kwanza
Wala sina la kuuliza
[emoji3][emoji3][emoji3]Utatoa kojo hata kwa mrija
[emoji101] [emoji101] [emoji101]Woiiiiiiii
HahaaaSikuteteiii walaaaaiiii babangu mwanaume naapaaa
Najua dada lakini si mliachana nashangaa kuona kama mmerudiana tena hiviiKwani hujui