Couples zisizoendana

Couples zisizoendana

Ndo ukweli huo
We mwanaume ukazane unachat na demu siku nzima i miss u i miss u beby mtakula beby hizo???

Hao watoto mkizaa mtasomesha kwa bebi??

Call me old school/conservative or whatever ila beby ana muda wake anapangiwa jioni. Sio kila saa meseji 30 missed call 10 anakwambia beby tupige stori.
Mwanaume hakuzaliwa kupiga mastori. Ukiona hivyo unamtimizia njaa yake ya njaa yake unapiga chini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .....et "mtakula hzo beby?" nmecheka xanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom