[emoji23]Itapentnyuaaaaa(InMagufuli'sVoice)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unamaana gani
Kasomee ufundi,Habari wanajukwaa
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 nilibahatika kumaliza kidato cha 4 mwaka jana lkni bahati mbaya sikufanikiw kufanya vizur kutokan na sababu Mbalimbali(hatanikiwaelezea sababu zenyew haitasidia) lengo la kuleta uzi huu kwenu ni kuomba ushauli course gani naweza kusomea kutokana na matokeo yngu haya
Physics F
Chemistry F
B. Mathematics F
Biology D
Civics D
History D
Geography D
English D
Kiswahili D
Nahitaji ushauli wenu kaka zangu na Dada zangu
ASANTENI
Nashukuru mkuuKasomee ufungi,
Weka mtazamo wako huko kwenye maswala ya veta,
Kisha chagua usome ufundi wa kitu gani.
Ukishindwa kuchagua
Tuone ukileta uzi mwingine wa kutaka kuambiwa ufundi upi mzur kati ya hizo utakazoona zinafaa.
Ila kama nyumbani hela ipo ya kutosha,
Kozi za matajili zipo nyingi tu, waambie wanaokupa hela wakuchagulie.
Shukrani Kwa ushaulinenda kaanze
certifiate ya law(1yr) then diploma(2yrs) ...bachelor LLB (4yrs)...school of law (1yr ukiwa serious)
au nenda mzumbe university kaanze certificate ya Public administration
na kozi zinazofanana na hizo
maana nahisi kwa utawala na waziri yule wa elimu sidhani kama watakuruhusu kufanya kozi za biashara sababu ya F ya math
Nyie ndo mko siriaz ,heshima kwenuKasomee ufundi,
Weka mtazamo wako huko kwenye maswala ya veta,
Kisha chagua usome ufundi wa kitu gani.
Ukishindwa kuchagua
Tuone ukileta uzi mwingine wa kutaka kuambiwa ufundi upi mzur kati ya hizo utakazoona zinafaa.
Ila kama nyumbani hela ipo ya kutosha,
Kozi za matajili zipo nyingi tu, waambie wanaokupa hela wakuchagulie.
Nyie ndo mko siriaz ,heshima kwenu
Mimi nina ndugu yangu mkuu kapata alama hizi
Hisb F
Hist D
CIVC D
BIOS C
CHEM D
KISW C
GEOG D
ENGL D
sasa nimepewa kazi kumtaftia kozi yeyote ya mambo ya afya mkuu.
Nibkozi gani inaweza kumfaa mkuu kwa matokeo hayo?
Nyie ndo mko siriaz ,heshima kwenu
Mimi nina ndugu yangu mkuu kapata alama hizi
Hisb F
Hist D
CIVC D
BIOS C
CHEM D
KISW C
GEOG D
ENGL D
sasa nimepewa kazi kumtaftia kozi yeyote ya mambo ya afya mkuu.
Nibkozi gani inaweza kumfaa mkuu kwa matokeo hayo?
Aiseeeeee.Mkuu afya hawataki F ya math
Waambie afya haiweZekan labda kwengine
hapo kwa afya anapata kozi moja nahisi kutokana na F ya math inamfunga asiweze kupata nyingineJimmie Gatsby weka ushauri wako hapo mkuu.
mkuu nahisi kwa matokeo hayo anakubaliwa kusomea medical laboratory sciencesMkuu afya hawataki F ya math
Waambie afya haiweZekan labda kwengine
mkuu nahisi kwa matokeo hayo anakubaliwa kusomea medical laboratory sciences
hii ni prospector ya RUAHA UNIVERSITY.... katika masomo manne math..physics..biology..chemistry.. wanahitaji pass 2 katika course ya certificate in medical laboratorySina uhakika sana maana kila siku mambo yanabadilika.
Nilikua nikiona wanataka kuanzia D
aende RUAHA CATHORIC UNIVERSITY akafanye 2 yrs programe ...certificate in medical laboratory sciencesJimmie Gatsby weka ushauri wako hapo mkuu.
mkuu nahisi kwa matokeo hayo anakubaliwa kusomea medical laboratory sciences
soko lake lipo njema mkuu... siunajua kada ya afya ajira zake huwa hazisumbuiHyo kozi iko vzuri mkuu,mana sisi wengine shule tulikimbiaga tunawakomalia vijana wetu mkuu.
Iko vipi soko lake la biashara ama ajira?
Na jee kwa zanzibar naweza pata chuo hichp cha kumpeleka mkuu?
Na pia vipi anaanzia certificate miaka mingapi mpaka diploma mkuu?
Samahani kwa miswali ya kiusumbufu nashkuru kwa muda wako mkuu
hii ni prospector ya RUAHA UNIVERSITY.... katika masomo manne math..physics..biology..chemistry.. wanahitaji pass 2 katika course ya certificate in medical laboratoryView attachment 974390