Course gani naweza kusomea kutokana na matokeo yangu

Mkuu huu ni wakati wa milima na mabonde,hali hii haiwezi kudumu.tuchukulie miaka 7 ilobaki hali iwe hivi hivi basi huu ndo wakati nzuri wa kusoma mkuu,hatutaishi hivi milele mkuu.

Mimi natageti miaka hata 8 huko mbele,sio kwamba asome then kesho apate ajira,hapana mkuu.

Akipata cheti chake mkuu kitamlinda au vipi mkuu?
Hiyo kauli ya ajira sio shida futa kabisa.
Tembelea nyuzi zingine utaona watu wanavolaumu swala la uchache wa ajira hadi secta ya afya.
 
Ni vyema kabisa maisha ndivo yalivo, pia waweza soma sana.
Ukaishia kuwa mtumishi wa kanisa. Mchungaji au askofu.
Mkuu huu ni wakati wa milima na mabonde,hali hii haiwezi kudumu.tuchukulie miaka 7 ilobaki hali iwe hivi hivi basi huu ndo wakati nzuri wa kusoma mkuu,hatutaishi hivi milele mkuu.

Mimi natageti miaka hata 8 huko mbele,sio kwamba asome then kesho apate ajira,hapana mkuu.

Akipata cheti chake mkuu kitamlinda au vipi mkuu?
 
Mkuu mbona sina kosa hapo?
Ndo mana wadau wanachangia uzi huu.

Vinginevyo basi iwe mtu ambaye mchoyo mchoyo asiyetaka kuchangia vitu na wenzie.

Kama post tu hivi jee chakula si kushikana mkono mkuu?

Hii ni kawaida hapa JF mkuu.[/QUOTI

I think after six or five comment

unafikili kuna kitu alipata

only you ndo umepata ulichokitaka sio muhusika

Now you know or no
 
Mkuu coment yangu ni namba 10 ndo ambayo nimeanza kukomenti.

Coment zilizopita yeye alipewa majibUK na akawashukuru wadau.

Au ulitaka apewe majibu yafike comenti ngapi then na mimi ningeleta shida yangu mkuu?
 
Pako doro kivipi mkuu fafanua mkuu
kuna ongezeko kubwa snaa la watu na vijana wanaosomea kada ya afya ilihali uwezekano wa kuajiriwa ni mdogo sanaaa...

ushauri wangu mlete dogo kwenye uwanja wa wahandisi

Nakumbuka kwetu baba alikuwa anatabia ya kuchukua ndugu zake waliopo vijijini hususani watoto wa Dada zake au wadogo zake wakike na kuwa leta home kuwasomesha...

%kubwa ya watu wa vijijin hawajasoma au wameishia la 7 so
baba alikuwa anawachukua na kuwa peleka veta
wakitoka veta na vyeti vyao vya ufundi walikuwa wanaweza fanya kaz miaka m3 au m2 then ana wa force kurudi tena vyuo hususani hizi college za ufundi I.e DIT na Maji basi walikuwa wakienda pale watasoma tena diploma afu mzee alikuwa nawaforce waende tena kusoma degree
kwa hali hii ilipelekea ukoo Wetu na binamu zangu wengi wa kike na kiume kuwa ma engineer na maafisa wakubwa wa jeshi ..

formula hii ndiyo mpaka Leo tuseme ndani ya ukoo Wetu inatumika wachache sanaa wamefika kwa mfumo RASMI wa O level,A level then degree but wengi sanaa
walianza na mfumo wa

Veta
College
university

mwakani broo wangu anahitumu masters lakini kwa chimbuko la veta

kama una swali la mfumo huu ask
 
Daah kumbeee.

Kwa hyo laboratory bora asiende mkuu
 
Mkuu coment yangu ni namba 10 ndo ambayo nimeanza kukomenti.

Coment zilizopita yeye alipewa majibUK na akawashukuru wadau.

Au ulitaka apewe majibu yafike comenti ngapi then na mimi ningeleta shida yangu mkuu?

Hivi ukujua kama ulipaswa kuanzisha wako

au njoo kwenye normal life

Hunafikili ten comment zitamsaidia nn mtu aliyepata four ya 29 au 30
 
Siwezi kuanzisha uzi wakati huu upo na unahusiana na jambo langu.

Kwani mbona umemaindi wewe mkuu?

No had feeling cause its JF
pia nimejifunza kitu kutoka kwako my friend

#safuha#kajamaa kadogoo
 
Daah kumbeee.

Kwa hyo laboratory bora asiende mkuu
sijajua malengo na plan zenu ni zipi
lakini in term ya maslah siwashauri ...

ukiwa fundi huwezi kulala njaa...
na pia ukiwa mhandisi huwez KUKOSA kazi...

uzuri wake ipo hivi.
anaweza

veta akasomea maybe ufundi wa umeme wa magari/magari/hata ujenzi/plumber au hata umeme Kati ya hizo

then college akaenda kusoma
diploma maybe ya
civil/automobile/mechanic/electrical/water etc

then university akachukua degree yoyote maybe ya
civil/mechanic/electric/water etc

uzuri wa huu mfumo
unaweza kusoma maybe

.veta ukasoma ufundi wa magari
then college ukasoma diploma ya ujenzi (Civil)
then degree ukasoma electrical engineer au whatever

so hapo kichwani unakuwa na experience ya vitu vingi...kuanzia ufundi up degree

ni njia nzuri sana ya kutoboa na kupita sema wengi hawatambui na kufahamu...

na jinsi ya kusoma ipo hivi .kama ataenda veta

veta miaka 3
college/institute miaka 3
university miaka 3 hadi 4 kwa baadhi ya vyuo...

lakini hapo ina depend anaweza kufika level fulani akasimama akapiga kazi then akaenda tena kusoma mpaka anafikisha 40+ hope atakuwa na ka degree hadi ka master
 
Back
Top Bottom