Course gani naweza kusomea kutokana na matokeo yangu

yah.. anahitaji afanye juhudi... nahisi hata nacte sif zao zitakuwa ni hizihiz maana hii kozi niliijua kupitia dogo fulan wa kitaa alikuwa na matokeo yanayoendana na hayo

alimaliza hapo RUCU mwaka juzi na amebahatika katika ajira zilitoka mwaka huu yupi hospital ya mkoa dodoma
Ajipange maana pia Lab ni ngumu mkuu.
Pia muhimu kufatilia sifa wanazotaka Nacte na sio chuo fulan.
So fatilia zaidi nacte wanataka nin
Kwa uhakika zaidi nenda kafanye application mwenyewe mtandaoni na sio kuambiwa na chuo kuwa watakusajili tuu.
 
Habari wanajukwaa
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 nilibahatika kumaliza kidato cha 4 mwaka jana lkni bahati mbaya sikufanikiw kufanya vizur kutokan na sababu Mbalimbali(hatanikiwaelezea sababu zenyew haitasidia) lengo la kuleta uzi huu kwenu ni kuomba ushauli course gani naweza kusomea kutokana na matokeo yngu haya

Physics F
Chemistry F
B. Mathematics F
Biology D
Civics D
History D
Geography D
English D
Kiswahili D

Nahitaji ushauli wenu kaka zangu na Dada zangu

ASANTENI
Wewe shule imegoma sio kwa matokeo hayo...cha kufanya somea ufundi tu ndo fani yako kwani ukilazmisha uko mbele utafeli tu hasa vyuo vya serikali...plato aliwai kusema kuna aina tatu za watu...gold boys(hawa wnauwezo mkubwa sn katika barain).siliver boys(hawa ni ubongo wa kati )kwa matokeo yako ww ndo unapatikana hapa..so kasomeee ufundi tu..
 
Nyie ndo mko siriaz ,heshima kwenu

Mimi nina ndugu yangu mkuu kapata alama hizi

Hisb F
Hist D
CIVC D
BIOS C
CHEM D
KISW C
GEOG D
ENGL D

sasa nimepewa kazi kumtaftia kozi yeyote ya mambo ya afya mkuu.

Nibkozi gani inaweza kumfaa mkuu kwa matokeo hayo?
nakushauri asiende afya
pako doro
 
Aisee ai mchezo mkuu,dogo cjui ataiweza hyo kozi mana ashaanza usumbufu.

Na ada zake mkuu kwa sisi watu wa kima cha kawaida tunaweza kuzimudu?
Yani nakusudia 1M kurudi chini au ni zaidi ya hapo mkuu
Ajipange maana pia Lab ni ngumu mkuu.
Pia muhimu kufatilia sifa wanazotaka Nacte na sio chuo fulan.
So fatilia zaidi nacte wanataka nin
Kwa uhakika zaidi nenda kafanye application mwenyewe mtandaoni na sio kuambiwa na chuo kuwa watakusajili tuu.
 
Wewe shule imegoma sio kwa matokeo hayo...cha kufanya somea ufundi tu ndo fani yako kwani ukilazmisha uko mbele utafeli tu hasa vyuo vya serikali...plato aliwai kusema kuna aina tatu za watu...gold boys(hawa wnauwezo mkubwa sn katika barain).siliver boys(hawa ni ubongo wa kati )kwa matokeo yako ww ndo unapatikana hapa..so kasomeee ufundi tu..
Uwezo wa brain unapimwa na mitihani kwani au?
 
Aisee ai mchezo mkuu,dogo cjui ataiweza hyo kozi mana ashaanza usumbufu.

Na ada zake mkuu kwa sisi watu wa kima cha kawaida tunaweza kuzimudu?
Yani nakusudia 1M kurudi chini au ni zaidi ya hapo mkuu
Ni zaidi ya 1M
 
Nyie ndo mko siriaz ,heshima kwenu

Mimi nina ndugu yangu mkuu kapata alama hizi

Hisb F
Hist D
CIVC D
BIOS C
CHEM D
KISW C
GEOG D
ENGL D

sasa nimepewa kazi kumtaftia kozi yeyote ya mambo ya afya mkuu.

Nibkozi gani inaweza kumfaa mkuu kwa matokeo hayo?

Hivi unajua uyu aliyeandaa huu uzi alitumia muda kiasi gani usipende kitonga #kajamaa kadogo

hii kwa waelewa only watajua nime maanisha nini #
 
Mkuu najua nimeingilia uzi lakini sio mbaya JF ni yetu wote.

Yeye majibu ameshayapata.
Ni kuwaste time kuanzisha mada nyingine wakati hii ipo mkuu,ni suala la kuchomekea humu humu mada kama hizi mpaka kieleweke.

Ndio maana viongozi wa humu kuna nyuzi wanaziunganisha na zingine zinazohusiana mkuu,usiwe na wasi wasi tupo pamoja mkuu.

JF ni yetu wote.
Simu ni yangu
Uamuzi ni wangu
Uhuru wa kukoment ni wangu.

Asante sana.

Lina ukweli jambo hilo,
Pia vyuo vya afya hata 2M inaweza kuzid nikawaida sana.

Ukitaka kujionea wew waulize walio wahi kufanya application watakwambia bei zilivo juu.
Poa mkuu tutapambana kuna boya mmoja alinambia ni 2M nikamuangalia kwa uchungu sana,nikaona nisimjibu chochote
 
Mkuu najua nimeingilia uzi lakini sio mbaya JF ni yetu wote.

Yeye majibu ameshayapata.
Ni kuwaste time kuanzisha mada nyingine wakati hii ipo mkuu,ni suala la kuchomekea humu humu mada kama hizi mpaka kieleweke.

Ndio maana viongozi wa humu kuna nyuzi wanaziunganisha na zingine zinazohusiana mkuu,usiwe na wasi wasi tupo pamoja mkuu.

JF ni yetu wote.
Simu ni yangu
Uamuzi ni wangu
Uhuru wa kukoment ni wangu.

Asante sana.

ok maisha yaendelee kama unajiona you right #kajamaa kadogo
 
Daah aiseee. Sio mchezo
Alafu 4years sasa 8M uwanja na nyumba juu kwa kule kwetu kusini maeneo flan.

Ila sio kesi bhana wacha tujichange kama ajira sio shida saana hyo sio pesa mingi.
Lina ukweli jambo hilo,
Pia vyuo vya afya hata 2M inaweza kuzid nikawaida sana.

Ukitaka kujionea wew waulize walio wahi kufanya application watakwambia bei zilivo juu.
 
Mkuu mbona sina kosa hapo?
Ndo mana wadau wanachangia uzi huu.

Vinginevyo basi iwe mtu ambaye mchoyo mchoyo asiyetaka kuchangia vitu na wenzie.

Kama post tu hivi jee chakula si kushikana mkono mkuu?

Hii ni kawaida hapa JF mkuu.
ok maisha yaendelee kama unajiona you right #kajamaa kadogo
 
Daah aiseee. Sio mchezo
Alafu 4years sasa 8M uwanja na nyumba juu kwa kule kwetu kusini maeneo flan.

Ila sio kesi bhana wacha tujichange kama ajira sio shida saana hyo sio pesa mingi.
Hiyo kauli ya ajira sio shida futa kabisa.
Tembelea nyuzi zingine utaona watu wanavolaumu swala la uchache wa ajira hadi secta ya afya.
 
Back
Top Bottom