Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,621
Mkuu huu ni wakati wa milima na mabonde,hali hii haiwezi kudumu.tuchukulie miaka 7 ilobaki hali iwe hivi hivi basi huu ndo wakati nzuri wa kusoma mkuu,hatutaishi hivi milele mkuu.
Mimi natageti miaka hata 8 huko mbele,sio kwamba asome then kesho apate ajira,hapana mkuu.
Akipata cheti chake mkuu kitamlinda au vipi mkuu?
Mimi natageti miaka hata 8 huko mbele,sio kwamba asome then kesho apate ajira,hapana mkuu.
Akipata cheti chake mkuu kitamlinda au vipi mkuu?
Hiyo kauli ya ajira sio shida futa kabisa.
Tembelea nyuzi zingine utaona watu wanavolaumu swala la uchache wa ajira hadi secta ya afya.