Course gani za masters zina maslahi kwa mtu aliyesoma BSc. Ed

tiego

New Member
Joined
Jul 23, 2025
Posts
3
Reaction score
6
Wakuu mimi nimesoma bachelor of science with education, nina gpa ya 4.4 na kwa sasa niko mtaani nina duka la cosmetics.

Sasa wazazi wamenipa shavu kuwa niende masters nikajiendeleze wakati nafanya biashara zangu huku wakitafsiri kwamba ajira ya serikali itanikuta nikiwa kwenye haya mambo mawili.

Msaada wakuu hapo course gani za masters ambazo ziko marketable . Nisije nikawa napoteza muda na resources pia.

Naomba mawazo na michango hapo wakuu
 
Mkuu utaniwai radhi kama nitakuwa nimekukwaza ila mpaka umemaliza degree Bado unafikilia courses itakayokulipa masters? Kwenye soka la ajira Kwa sasa haliangalii wewe umesoma nini je wewe unaujuzi wa kuziba mapengo yao ! Ndio maana unakuta kwenye ofisini kupo saturated
 
Ilitakiwa useme una bachelor ya Education ya masomo gani. Ni physics na Math? Ni Chemistry na Biology? Ni Physics na Chemistry?
 
Wakuu mimi nimesoma bachelor of science with education, nina gpa ya 4.4 na kwa sasa niko mtaani nina duka la cosmetics.

Sasa wazazi wamenipa shavu kuwa niende masters nikajiendeleze wakati nafanya biashara zangu huku wakitafsiri kwamba ajira ya serikali itanikuta nikiwa kwenye haya mambo mawili.

Msaada wakuu hapo course gani za masters ambazo ziko marketable . Nisije nikawa napoteza muda na resources pia.

Naomba mawazo na michango hapo wakuu
Ukishasom education serikali I inaagliwa first degree tuu. Masters inabidi uendelee na education tuu. Ukiajiriwa serikalini ukisomea MSc ya kitu kingine haitatambulika kamwe
 
Acha kumdanganya mwenzako bhanaaa
 
Wakuu mimi nimesoma bachelor of science with education, nina gpa ya 4.4 na kwa sasa niko mtaani nina duka la cosmetics.

Sasa wazazi wamenipa shavu kuwa niende masters nikajiendeleze wakati nafanya biashara zangu huku wakitafsiri kwamba ajira ya serikali itanikuta nikiwa kwenye haya mambo mawili.

Msaada wakuu hapo course gani za masters ambazo ziko marketable . Nisije nikawa napoteza muda na resources pia.

Naomba mawazo na michango hapo wakuu
Eti GPA ya 4.4 na hajui Masters asome nini? First class? Chuo gani hicho umesomea? We ni tapeli tu
 
Wakuu mimi nimesoma bachelor of science with education, nina gpa ya 4.4 na kwa sasa niko mtaani nina duka la cosmetics.

Sasa wazazi wamenipa shavu kuwa niende masters nikajiendeleze wakati nafanya biashara zangu huku wakitafsiri kwamba ajira ya serikali itanikuta nikiwa kwenye haya mambo mawili.

Msaada wakuu hapo course gani za masters ambazo ziko marketable . Nisije nikawa napoteza muda na resources pia.

Naomba mawazo na michango hapo wakuu
Science gani?
Kasome Data Science
 
Back
Top Bottom