Wakuu mimi nimesoma bachelor of science with education, nina gpa ya 4.4 na kwa sasa niko mtaani nina duka la cosmetics.
Sasa wazazi wamenipa shavu kuwa niende masters nikajiendeleze wakati nafanya biashara zangu huku wakitafsiri kwamba ajira ya serikali itanikuta nikiwa kwenye haya mambo mawili.
Msaada wakuu hapo course gani za masters ambazo ziko marketable . Nisije nikawa napoteza muda na resources pia.
Naomba mawazo na michango hapo wakuu