Course ya kusoma Chuo Kikuu

Course ya kusoma Chuo Kikuu

Ningekushauri usome accounting but naona kama hutoimudu
 
Mkuu ningekushauri before ya kwenda kupoteza mda 5&6 ungeenda soma cheti na diploma pale chuo Cha hombolo ila ziwe ni kati ya account, utawala katika serekali za mitaa, HRM na maendeleo ya jamii sema hujachelewa wachana na digrii sikuhizi hakuna anae ajiri digrii maana waliopo makazini wanaenda jiendeleza nafasi nikwa diploma Sasa omba cozi moja wapo kati ya hizo hapo juu hapo hombolo ukasome diploma utakuja nishukuru baada ya mda
 
Wakuu habari.

Kuna mtu kaniomba ushauri hapa course za kusoma kwa vyuo vikuu vilivyo hapo Dar.

Yeye ni mhitimu wa kidato cha sita mchepuo wa HKL, ni course gani asome yenye tija wakuu.

Kujipanga mapema ni kheei zaidi maana wengi hukosea kwa kukurupuka pale wanaporuhusiwa kuomba.

Ushauri wenu unahitajika wakulungwa.
Achopenda
Nawasilisha.
Kila mtu atavutia kwake , chamsingi anapenda nini, anapenda kuwa nani in future akasome hicho anachopenda.
 
Ikiwa wataka ajira, pitia majukwaa mbali mbali yanayotangaza ajira utazame, utapata most trending vacancies zinahitaji watu gani.


Ikiwa unataka expertise, zingatia moyo wako.
 
Asome business administration chuo cha CBE nipigie kwa 0756936931
 
Back
Top Bottom