Bado nawasubiria wajuvi wa mambo waje watujuze.tuwasubir man labda tunaweza pata moja, mbili tatu
Wanaotoa certification za ukocha ni FIFA tu kupitia wakufunzi waoHivi hakuna anayefikiria kutoa mafunzo haya mkoa kwa mkoa kamK alivyofanyaga Mr. Ontario na forex yake. Mbona kutufundisha ukocha sisi was mikoani tutajitokeza tu