Freewine
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 257
- 211
Jamani kitaa kuna fursa nyingi zinazoitaji uthubutu tu, unaanza kufuta jasho kwa noti.
Wazazi wengi wa kileo wanapenda kuwarisisha watoto Wao ujuzi wa kitu Fulani.
Sasa mid nimeona kuna fursa ya kufundisha watoto mpira ila cheti kinachonithibitisha kufanyia kazi hiyo sina. Mpira unaweza lakini cjaupiga kwenye hatua kubwa zaidi ya ligi za kitaa.
Kwa Mwanza unaweza nikapata chuo hicho cha ukocha kwa muda mfupi nipate cheti.
Mwanasport karibu kwa ushauri kwenye fursa hii ya ukocha