Course ya Ukocha wa mpira wa miguu kwa muda mfupi

Course ya Ukocha wa mpira wa miguu kwa muda mfupi

Freewine

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
257
Reaction score
211
Jamani kitaa kuna fursa nyingi zinazoitaji uthubutu tu, unaanza kufuta jasho kwa noti.
Wazazi wengi wa kileo wanapenda kuwarisisha watoto Wao ujuzi wa kitu Fulani.
Sasa mid nimeona kuna fursa ya kufundisha watoto mpira ila cheti kinachonithibitisha kufanyia kazi hiyo sina. Mpira unaweza lakini cjaupiga kwenye hatua kubwa zaidi ya ligi za kitaa.
Kwa Mwanza unaweza nikapata chuo hicho cha ukocha kwa muda mfupi nipate cheti.
Mwanasport karibu kwa ushauri kwenye fursa hii ya ukocha
 
Ngoja niwahi siti ya mbele kabisa mkuu.
 
Hivi hakuna anayefikiria kutoa mafunzo haya mkoa kwa mkoa kamK alivyofanyaga Mr. Ontario na forex yake. Mbona kutufundisha ukocha sisi was mikoani tutajitokeza tu
 
Hivi hakuna anayefikiria kutoa mafunzo haya mkoa kwa mkoa kamK alivyofanyaga Mr. Ontario na forex yake. Mbona kutufundisha ukocha sisi was mikoani tutajitokeza tu
Wanaotoa certification za ukocha ni FIFA tu kupitia wakufunzi wao
 
Kozi huwa zinatoka mara Kwa mara wasiliana na chama cha makocha wilayani kwako unaanzia preliminary hatua ya Kwanza then intermediate hatua ya pili
 
Asante kwa ufafanuzi nimepata pa kuanzia
Kozi huwa zinatoka mara Kwa mara wasiliana na chama cha makocha wilayani kwako unaanzia preliminary hatua ya Kwanza then intermediate hatua ya pili
 
Back
Top Bottom