Cover Letter ni nini?

Cover Letter ni nini?

Wababa13

Senior Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
105
Reaction score
70
Kuna shirika limetangaza nafasi za kazi na wanahitaji kuattach kitu inaitwa COVER LETTER sasa naomba msaada hii cover letter ndo inaandikwaje?
 
Mkuu hiyo ni kama application letter ila Tu inakuwa maelezo machache kuhusu academic background na career experience yako. Ni kama highlight ya vitu vilivyopo kwenye CV maana ni lazma uiambatanishe nayo mara nyingi

Type Tu hata google

Cover letter examples

Au

Cover letter template (Hii nzuri zaidi) tena utype pengine na position kama

cover letter template for office coordinator

Maana hizi huwa zinaelezea hadi responsibilities na skills ambazo zitakurahisishia kazi tofauti na kuandika from the scratch

Ukifanikisha unitumie hela ya bundle kama zawadi ya free consultation (joking) 😁😁
 
Ukifanikisha unitumie hela ya bundle kama zawadi ya free consultation (joking) [emoji16][emoji16]

Hahah usingemalizia “joking” ungeshambuliwa na wana JF wenye hasira kali
 
Mkuu hiyo ni kama application letter ila Tu inakuwa maelezo machache kuhusu academic background na career experience yako. Ni kama highlight ya vitu vilivyopo kwenye CV maana ni lazma uiambatanishe nayo mara nyingi

Type Tu hata google

Cover letter examples

Au

Cover letter template (Hii nzuri zaidi) tena utype pengine na position kama

cover letter template for office coordinator

Maana hizi huwa zinaelezea hadi responsibilities na skills ambazo zitakurahisishia kazi tofauti na kuandika from the scratch

Ukifanikisha unitumie hela ya bundle kama zawadi ya free consultation (joking) 😁😁
✌️ ✌️ 👍👍👍
 
Kuna shirika limetangaza nafasi za kazi na wanahitaji kuattach kitu inaitwa COVER LETTER sasa naomba msaada hii cover letter ndo inaandikwaje?
 
Sikia, andika barua ya kuomba kazi then pita hiviiiiii.
 
Cover letter ni barua utakayoambatanisha wakati wa kuomba kazi pamoja na CV na credentials zako nyingine zinazohitajika kwenye hiyo barua kama Vyeti etc.
Ni barua inatakiwa kufupi na maelezonmachacjje isizidi page moja
 
Mwenye format nzuri ya barua ya kazi atupie hapa
Mbona hii ni elimu inatolewa kuanzia primary school?

Na kama mitandao imewalemaza si uende google?

By the way kuna wahindi wameiona hii fursa wana vitabu vina sample ya barua za aina zote, wanaviuza.
 
Back
Top Bottom