Wewe mwenyewe umecoment kama wengine nimepata notification nikajua mzigo umeshawekwajamani eh,wengine tume sabscribe huu uzi,mnapochart chart hovyo hovyo notiffication zinaingia tunajua jamaa kaongeza sehemu ya 5 kumbe umbuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]kwahiyo tuendelee kuwakera wengine kama ambavyo tumekereka.Wewe mwenyewe umecoment kama wengine nimepata notification nikajua mzigo umeshawekwa
Ndio hivyo notifacations zimekuwa nyingi ila bahati nzuri kwa Habibu B. Anga yeye anafurahia maana anakuwekeni attention hiyo kwake yeye anaona uzi unafatiliwa na hapo ndipo wengi wanaenda whatsapp kwenye group lake ili wasome faster wamalize hapo anakuwa tayari ameshapata riziki na yeye[emoji3][emoji3][emoji3]kwahiyo tuendelee kuwakera wengine kama ambavyo tumekereka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya dakuMliambiwa baada ya iftar tuweni na subira
πππππhata baada ya mfungo fresh tuBaada ya daku
Sawa kiongoziWakuu wangu, mniwie radhi sana nimechelewa kuwawekea sehemu ya 5 kama ambavyo niliahidi nitaweka baada ya iftar.
Kuna jambo liko la uwezo wangu sitaweza kuweka usiku huu.. mniwie radhi sana.
Kesho asubuhi kabisa na mapema mkiamka mtakuta hapa tayari nimepost sehemu ya 5.
Mniswamehe wakuu... kumradhi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hauna chaneli YouTube yenye kueleza hizi story?Wakuu wangu, mniwie radhi sana nimechelewa kuwawekea sehemu ya 5 kama ambavyo niliahidi nitaweka baada ya iftar.
Kuna jambo liko la uwezo wangu sitaweza kuweka usiku huu.. mniwie radhi sana.
Kesho asubuhi kabisa na mapema mkiamka mtakuta hapa tayari nimepost sehemu ya 5.
Mniswamehe wakuu... kumradhi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
The other half s2 mwendelezo uko wapWakuu wangu, mniwie radhi sana nimechelewa kuwawekea sehemu ya 5 kama ambavyo niliahidi nitaweka baada ya iftar.
Kuna jambo liko la uwezo wangu sitaweza kuweka usiku huu.. mniwie radhi sana.
Kesho asubuhi kabisa na mapema mkiamka mtakuta hapa tayari nimepost sehemu ya 5.
Mniswamehe wakuu... kumradhi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah hivi brother najaribu kuwaza unatumia mda kuandaa makala zako? Pia huwa nawazaga tena unafikiaga kutupa ujumbe gan kweny baadhi ya makala zako , mf " the other half"Wakuu wangu, mniwie radhi sana nimechelewa kuwawekea sehemu ya 5 kama ambavyo niliahidi nitaweka baada ya iftar.
Kuna jambo liko la uwezo wangu sitaweza kuweka usiku huu.. mniwie radhi sana.
Kesho asubuhi kabisa na mapema mkiamka mtakuta hapa tayari nimepost sehemu ya 5.
Mniswamehe wakuu... kumradhi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ tunachungulia umu kila time
We ππππjamaan tupo nae huku nchi za watu asubui huku bado sanaaaaaπ katemben tembeen kwanzaπ π π π