COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

Hivi ndivyo viwango ambavyo JF inatakiwa kutawaliwa navyo . Binafsi nimependezewa na IQ yako kiasi kwamba natamani kuwa na kampani nawe ktk kuchalenjiana mambo fulani fulani .

Jinsi nilivyo ndivyo ulivyo , hivyo najikuta sina imani na namba hiyo uliyoweka kuwasiliana . Yaani huwa inanichukua muda sana kuamini kitu bila ya intensive reasoning ya kitu ama jambo au tukio husika .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom