COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

Sehemu ya 12?sio iliishia hata ya sita bado au mimi nipo nyuma
Tuweke ratiba kuanzia sasa... nitakuwa nawajuza next "Episode" nitaweka lini na muda gani...

Hivyo basi,



SEHEMU YA 12 itakuwa hapa siku ya jumapili (Kesho kutwa) saa nane mchana.


Asante
 
The bold
Kwanini picha ya 1 ile ya pili mwaka umefutwa!
Pia miezi ya picha 1:1 inaeleza maendeleo hadi machi
Tena 1:2 inaonesha tarehe hivyo zinakinzana

Msaada tafadhali
 
very interesting probaly kirusi hiki kilivuja kutoka WIV
 
Hii iftar imetupotezea mwandishi wetu mahiri nimeshayasahau majina yote mwandishi aliyotuambia tuyakariri
 
Sehemu zinazofuata zahitaji vielelezo vingi vya picha...

Uzee unanisumbua, nashindwa kuweka picha katikati ya post.

Nitapost na kufuta futa (najaribu). Ikikaa ninavyotaka itabaki hapo.

Bear with me..
Ukitaka kufanya hivyo fanya hivi...
Copy text hadi pale ambapo chini patakuwa na picha kisha paste kwenye text field ya jf, kisha 'enter' chukua hiyo picha pachika hapo(hakikisha unachagua option ya full image) then enter tena, kisha endelea kurudia huo mchakato.
 
Mkuu siwez kua na ID mbii, mm ni mm na yy ni yy.
Pia hatuwez kujua mwazetu amepatwa na nn kuna maisha nje ya jf so lzm tuwe wavumilivu.
Mkuu huu uandishi miaka ya zamani kdogo ulikua haupo JF, miaka ya karibuni uandishi huu ukavamia JF kwa kasi sana!

Bahati nzuri kwenye majukwaa ya "intelijensi" na "great thinkers", jukwaa la dini na jukwaa la biashara haukuwepo kabisa.

Leo nimeshangaa na kusikitika sana kukutana na huu uandindishi kwenye JUKWAA LA INTELIJENSIA.
 
Huelweki hata umepinga nini,He was fired yes.so what?.Hiyo quote hakuisema yeye ama?..Kuandika kitabu ni maamuzi ya mtu na haimfanyi asiwe nguli...
 
Trump huwa anajua nini anafanya,..
 
Siyo mnalalamika tu utadhani mnanilipa.mimi najitolea kuwaletea hizi stories. Kama unapenda sana jiunge kwenye group langu.najua kuna watu mnataka sana kunivunja moyo ila hamtafanikiwa. Story imefika episode ya 12 kwa walio kwenye group.karibuni sana.
 
Sawa mkuu nitabadilika
 
Wewe ndio uhuelewi tulishasema humu hili ni jukwaa la Inteligence, my friend kama hufit nenda zako MMU basi.
Wewe mbona hujaenda huko? Kuwa mwana ccm siyo justification ya kuwa mjinga.
 
Mkuu Habib asante sana .Saa nane nataka niwe kwa Massawe maeneo ya Sanawari nikipiga nyama choma huku nasoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…