COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

Sehemu ya 12?sio iliishia hata ya sita bado au mimi nipo nyuma
Tuweke ratiba kuanzia sasa... nitakuwa nawajuza next "Episode" nitaweka lini na muda gani...

Hivyo basi,



SEHEMU YA 12 itakuwa hapa siku ya jumapili (Kesho kutwa) saa nane mchana.


Asante
 
The bold
Kwanini picha ya 1 ile ya pili mwaka umefutwa!
Pia miezi ya picha 1:1 inaeleza maendeleo hadi machi
Tena 1:2 inaonesha tarehe hivyo zinakinzana

Msaada tafadhali
 
very interesting probaly kirusi hiki kilivuja kutoka WIV
 
Hii iftar imetupotezea mwandishi wetu mahiri nimeshayasahau majina yote mwandishi aliyotuambia tuyakariri
 
Sehemu zinazofuata zahitaji vielelezo vingi vya picha...

Uzee unanisumbua, nashindwa kuweka picha katikati ya post.

Nitapost na kufuta futa (najaribu). Ikikaa ninavyotaka itabaki hapo.

Bear with me..
Ukitaka kufanya hivyo fanya hivi...
Copy text hadi pale ambapo chini patakuwa na picha kisha paste kwenye text field ya jf, kisha 'enter' chukua hiyo picha pachika hapo(hakikisha unachagua option ya full image) then enter tena, kisha endelea kurudia huo mchakato.
 
Mkuu siwez kua na ID mbii, mm ni mm na yy ni yy.
Pia hatuwez kujua mwazetu amepatwa na nn kuna maisha nje ya jf so lzm tuwe wavumilivu.
Mkuu huu uandishi miaka ya zamani kdogo ulikua haupo JF, miaka ya karibuni uandishi huu ukavamia JF kwa kasi sana!

Bahati nzuri kwenye majukwaa ya "intelijensi" na "great thinkers", jukwaa la dini na jukwaa la biashara haukuwepo kabisa.

Leo nimeshangaa na kusikitika sana kukutana na huu uandindishi kwenye JUKWAA LA INTELIJENSIA.
 
Ingawa unalekea kua mwandishi mzuri baadhi ya maelezo yako Kuhusu James Angleton CIA officer 1954-1974 au 75 sio sahihi na mfano wako unaompimanisha Abu Omar (Fugitive extremist) na Sheikh Ponda (Social Justice Advocate), unampoteza msomaji na kumpandia mbegu ya fitna Mtanzania mwenzetu. It is a known as a faulty comparison. Nitaanza na James Angleton na kisha kuonyesha dalili ya false comparison Kati ya Abu Omar na Sheikh Ponda.

Ingawa huandiki source zako, umemsifia kwa kiasi jasusi wa CIA James Jesus Angleton. Lakini, inashangaza kwanini hajaandika kitabu Kama manguli wengine.
Ukweli ni kwamba kulingana na rekodi zilizo public (Yani sio classified). James alifukuzwa kazi (fired)
Huelweki hata umepinga nini,He was fired yes.so what?.Hiyo quote hakuisema yeye ama?..Kuandika kitabu ni maamuzi ya mtu na haimfanyi asiwe nguli...
 
puzzle kawaida inakua na vipande vingi vingi ambavyo inapaswa uviunganishe ili upate picha halisi kusudiwa......

nadhani ndicho anachofanya Habibu hapa, anajaribu kuviunganisha vifungu hivi vyote ili baadae atakapokuja kukupa kile alichokusudia unapata picha clear!

mimi ndio mana huwa niko makini sana kumsikiliza kichaa trump,..... anaropoka vingi sana ambavyo wengi wanamwona hajui kuongoza kumbe anaelewa kuliko sisi!
Trump huwa anajua nini anafanya,..
 
Siyo mnalalamika tu utadhani mnanilipa.mimi najitolea kuwaletea hizi stories. Kama unapenda sana jiunge kwenye group langu.najua kuna watu mnataka sana kunivunja moyo ila hamtafanikiwa. Story imefika episode ya 12 kwa walio kwenye group.karibuni sana.
 
Mkuu huu uandishi miaka ya zamani kdogo ulikua haupo JF, miaka ya karibuni uandishi huu ukavamia JF kwa kasi sana!

Bahati nzuri kwenye majukwaa ya "intelijensi" na "great thinkers", jukwaa la dini na jukwaa la biashara haukuwepo kabisa.

Leo nimeshangaa na kusikitika sana kukutana na huu uandindishi kwenye JUKWAA LA INTELIJENSIA.
Sawa mkuu nitabadilika
 
Mkuu Habib asante sana .Saa nane nataka niwe kwa Massawe maeneo ya Sanawari nikipiga nyama choma huku nasoma
 
Back
Top Bottom