Mbona lifecoded haonekani kwenye vitu vigumu hivi?! Namuamini kwene haya ma Replication, Transcription na Translation ya mavirus. naamini hajahusika kutengeneza hili jinni linalosumbua sasa hivi, ila naye anaweza kueleza haya ma bio engineering kiasi filani.
Habibu B. Anga,
Kama hauwezi kuconnect dots basi connect hata maandishi, kama na hilo hauwezi basi imekula kwako. Thanks Mr. The Bold kwa bonge moja la chapisho.