Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Yale majina matatu bado nimeshika huku.. [emoji110]
Usiyaachie[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yale majina matatu bado nimeshika huku.. [emoji110]
Daaa yaan ukimaliza kusoma inapoishia unaanza kujuta kwa nn umesoma haraka haraka wakat episode inayofuata ni next week [emoji24][emoji24]
Muda ule Rais Obama yuko kwenye tafrija, je Osama bin laden alikuwa wapi na anafanya nini? Natamani kujua.
Mbona thread hii imekuwa ngumu sana kufunguka, tangu jana najaribu kufunguabpage 233 ambayo nafikiri ina sehemu ya nne inashindwa kufunguka. Msaada tafathari nashindwa kuendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Covid 19 & deep state naona inachanja mbuga [emoji28][emoji28]anyways nimeweka kambi namsubili mtaalamu #thebold
Yale majina matatu bado nimeshika huku.. [emoji110]
Ukituliza akili unaelewaHii story, msimuliaji ana mambo mengi kichwani anataka kutueleza ila anashindwa kuyaconect... heading ni covid& and deep state ndani kuna story nyingi ambazo hazifiki mwisho na zinakosa connection kabisa
puzzle kawaida inakua na vipande vingi vingi ambavyo inapaswa uviunganishe ili upate picha halisi kusudiwa......Hii story, msimuliaji ana mambo mengi kichwani anataka kutueleza ila anashindwa kuyaconect... heading ni covid& and deep state ndani kuna story nyingi ambazo hazifiki mwisho na zinakosa connection kabisa
[emoji23] [emoji23]jamani eh,wengine tume sabscribe huu uzi,mnapochart chart hovyo hovyo notiffication zinaingia tunajua jamaa kaongeza sehemu ya 5 kumbe umbuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app