King snr
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 1,165
- 1,470
Nami naisubiri hiyoPost ya sita bado ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami naisubiri hiyoPost ya sita bado ?
Tokea mchana kila saa nafungua huu uzi kuangalia.Nami naisubiri hiyo
Nadhani humjui vizuri mleta uzi muda sio mrefu atakukera tu hata wewe kumvumilia ni ngumu sana vinginevyo ukaingie kwenye whatsapp japo nakwenyewe huwa anakera vile vile japo sio kama humu.Kikubwa mkuu usikate tamaa maana unatumia eneji kutupatia vitu Kama hivi, halafu hatukulishi, hatu kuogeshi wala kukupikia
Achana na Hawa wenye challenge kwenye nyuzi zako, sisi tunajua wewe ndio mwongoza njia japo Kuwa kuna wengine wafuata njia ukikosea mpaka matusi uta tukanwa ,na vya kwao hatuvioni japo wana JUAAAAA SANAAAAAAAA mpaka miaka.
Keep it up pambana na nyuzi hii tutoboe mawingu
Sent using Jamii Forums mobile app
Habar bro, mim mgeni humu nimeona umeandika sehem ya sita lkn siSehemu ya sita.
Naisubiri sehemu ya sita tangu jumapili.Habar bro, mim mgeni humu nimeona umeandika sehem ya sita lkn si
on muendelezo.
Picha kidogo ukipiga nyungu.Wakuu badala ya kuendelea kum-maindi Habibu B. Anga kuwa hamalizii makala, nashauri kila mtu aanzishe makala yake aisome mwenyewe aimalize ndani ya muda anaotaka. Hata sijachoka kusubiri sehemu ya sita😃😃.
Mkimaindi mje mnipige, niko hapa najifukiza
Hata mm bro nimeona Bora nijiunge kabbisa labda nitaipata lkn bado ngoma ngumu.Naisubiri sehemu ya sita tangu jumapili.
Nipe fomula ya kuandaa hiyo nyungu broWakuu badala ya kuendelea kum-maindi Habibu B. Anga kuwa hamalizii makala, nashauri kila mtu aanzishe makala yake aisome mwenyewe aimalize ndani ya muda anaotaka. Hata sijachoka kusubiri sehemu ya sita😃😃.
Mkimaindi mje mnipige, niko hapa najifukiza
Acha niitafutie barakoa mkuu, niipige picha kaliPicha kidogo ukipiga nyungu.
Huku kwetu tunatumia majani ya mipapai tunachanganya na ile dawa ya MadagascarNipe fomula ya kuandaa hiyo nyungu bro
Jamaa ana mambo mengi sanaMkuu the Bold ni heri ukae mwezi mmoja kisha utuaendikie makala ndefu kama ile ya D.B.Cooper kuliko kutuandikia makala fupi kila baada ya wiki.
Tunapata tabu sana kuutizama huu uzi kila saa.
Usisahau kunitag kwenye makala zako.
Wazo zuri mremboWakuu badala ya kuendelea kum-maindi Habibu B. Anga kuwa hamalizii makala, nashauri kila mtu aanzishe makala yake aisome mwenyewe aimalize ndani ya muda anaotaka. Hata sijachoka kusubiri sehemu ya sita😃😃.
Mkimaindi mje mnipige, niko hapa najifukiza