COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

Hiyo tunda kula masihara umejuaje ,wewe ndo bongo lala hata matope unalishwe,kiazi ww
Kuna mambo ambayo ni complex huwezi kuyaelezea kirahisi lazima uchimbe deep ili uweze kueleweka watu wenye vichwa vya nyoka vyenye IQ ndogo kama chako si rahisi kumuelewa maandishi.Napendekeza urudi kwenye thread ya saizi yako ile ya kula tunda kimasihara.
 
safi sana the bold

nimependa jinsi ambavyo unavyoweza kukabiliana na changamoto zamaneno ya watu nakuendelea kufanya kazi yako bila ya kutetereka

daahh waandishi mnakazi sana YAANI MTU BUNDLE LAKO. SIMULIZI YAKO BUT still baadhi ya hadhira wanakukashifu nakukutana 😏😏😏

utadhani wana kuchangia bundle au walikusomesha

Hahaha, kwani tumemtuma alete huku?
 
Unasoma vitabu mbalimbali unaweka na mawazo yako kiasi unachanganya stories nusu nusu kqa kadiri unavyosoma na kutafsiri. Story haipo direct chai nyingi sana ili iwe ndefu. Ukimaliza chini weka sources zako maana usiandike kama vile wewe ulihusika au ulikuwepo kwenye haya matukio.mnapoandika mada humu ndani muwe mnakumbuka na sisi tupo siyo kwamba wote ni vilaza hawajielewi kama i avyoonekana kwenye comments za wengi.
Mkuu hivi unajua notice zote ulizosoma katika mapito yako yote ya elimu ni summary ya vitabu vya watu?
 
Hapo mkuu bold umeushangaza umma kubadilisha mtiririko wa story, kisa vilaza wachache wanalialia, mbona tunaielewa vizuri story,umeamua kuwafurahisha vilaza huku sisi tunaoelewa ukituacha kwenye oblivion,hanna mtu amelazimishwa kusoma hii makala kwahiyo kama haelewi aende kusoma thread ya kula tunda kimasihara maana ndio thread ya uwezo wake wa kufikiri.
 
Mtu kama huyo ana kichwa kigumu unadhani anaweza kukuelewa
Kwakweli muandishi amezingua sana. zaid ya wiki 2 mwanzoni mwahii makala kunasehem alirukia kuhusu tukio lilitokea iraq akatuambia tukariri wahusika wahilo tukio kina raymond, fahad na faheem lakin nahis ata yeye niamesahau kua alisema tukarir hao wahusika manake haku waongelea tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli muandishi amezingua sana. zaid ya wiki 2 mwanzoni mwahii makala kunasehem alirukia kuhusu tukio lilitokea iraq akatuambia tukariri wahusika wahilo tukio kina raymond, fahad na faheem lakin nahis ata yeye niamesahau kua alisema tukarir hao wahusika manake haku waongelea tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani makala imeisha buddah? We endelea kushikilia hayo majina, pengine ndo karata yako ya ushindi😃😃😃😃.

Ila mwana ungekuwa unatumia uwezo wako wa kukariri vizuri pengine ungeweza kuleta story kali hapa pengine kuliko hata hizi za Habibu B. Anga. Bado unakumbuka hayo majina???
 
Mkuu hata youtube watu wakipost contents zao huwa wanapata likes na dislikes pia.

Hiko ni kitu cha kawaida sana.

Ukiitenganisha COVID-19 na DEEP STATE haitakuwa na ule uhalisia wa huu ugonjwa.
@uUnforgetable

[emoji2021]Manners Maketh Man[emoji2021]
 
Kwani makala imeisha buddah? We endelea kushikilia hayo majina, pengine ndo karata yako ya ushindi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].

Ila mwana ungekuwa unatumia uwezo wako wa kukariri vizuri pengine ungeweza kuleta story kali hapa pengine kuliko hata hizi za Habibu B. Anga. Bado unakumbuka hayo majina???
Yaan hiki ni *KIDOKEZO* tu kma alivosema ila tumefikshwa huku. Tumezunguka Marekani kwa CIA, NSA na idara zote zaulinzi, tumpita mashariki yakati yote mpaka morogoro tumefika

Jamaa ametuchoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom