COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

Kakimbia ndio tatizo la watunzi wetu wa kibongo wapo wengi hata kule bongo movies. Mfano movie inaenda vizuri ki mbembe mwisho wa movie utacheka ndio kama huyu mtunzi uchwara Sijui alikopi wapi huu ushuzi wake huyu jamaa namfananisha na Eric shigongo wa gazeti la uwazi enzi hizo alitupata baada ya kumshituki kwamba riwaya zake anakopi akanza kulia lia na gazeti lake likajifia akabadilisha Gia angani akajiingiza kwenye siasa hawa watunzi uchwara hapo bongo wapo wengi Sana ni bora ukae kimya hivyo hivyo atutaki story zako za kukopi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtunzi anapata iftar tulia atakuja
 
shigongo type
 
Sijui shida nini, kwasababu hukulazimishwa wala hujalazimishwa kuufatilia uzi huu povu linatoka wapi? Tuache na uzi wetu we fanya yako mkuu, watu wengine bahna mnatakaga kuwa kero tu bila sababu.
 
Iwe riwaya isiwe riwaya kazi safi inasomeka na kueleweka.
Keshasema "Believe nothing, question everything".

Kutokana na ubobezi wako Tanzania tufanye nini hata kwa miaka 50 mbele ili tuondokane na huu umaskini? Maana rasilimali zipo lakini twaziangalia tu na nyingine zinachukuliwa na wenzetu kwenda kuboresha maisha yao lakini sisi.......!
 
Kakimbia ndio tatizo la watunzi wetu wa kibongo wapo wengi hata kule bongo movies. Mfano movie inaenda vizuri ki mbembe mwisho wa movie utacheka ndio kama huyu mtunzi uchwara Sijui alikopi wapi huu ushuzi wake huyu jamaa namfananisha na Eric shigongo wa gazeti la uwazi enzi hizo alitupata baada ya kumshituki kwamba riwaya zake anakopi akanza kulia lia na gazeti lake likajifia akabadilisha Gia angani akajiingiza kwenye siasa hawa watunzi uchwara hapo bongo wapo wengi Sana ni bora ukae kimya hivyo hivyo atutaki story zako za kukopi

Tatizo mnapenda kutafuniwa na hamtaki kutoa chochote.

Tumeshawaambia njoeni kwenye group hamtaki, sasa kuleni jeuri yenu.
 
Mkuu hivi unajua notice zote ulizosoma katika mapito yako yote ya elimu ni summary ya vitabu vya watu?
We muache afu wengi wa akili izi unakuta ajui ata nini maana ya hkl wanajikuta wataalamu akati dunda head
 
Afu wengi wanao lalamika awahasoma ph kwaio awaelewi chochote
 
Nadhani mwandishi alitegemea angekutana na vilaza tu humu wangekuwa wanamwimbia nyimbo za kusifu na kuabudu. Amekutana na changamoto kakimbia akawale kwenye group lake la whatsapp🤣🤣🤣🤣 mjini hapa. Nlijua kifuatacho kilikuwa nini.
 
Back
Top Bottom