Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,548
- 63,038
It might be..
There must a hidden political agenda over the on going 12th straight day protesting against police brutality..[emoji848]
Even american knows; see the attached pic with comment on Deep State..
Hii comment nimekutana nayo leo nikiwa naperuse news Dailymail..
Huyu jamaa akitoboa November ni bahati sana.
US Top profiled politicians wemshaanza kuonyesha mwelekeo wao kuwa hawatamuunga mkono Trump..kama Bush, kina Romney, Obama .
Sasa jiulize Republican kama Bush wanamgeuga jamaa [emoji23][emoji23] Tena katika kipindi hiki yaani ..
Mzee wa Ku~Tweet ana kazi sana [emoji23]

Loh chief umenitonesha kidonda...
Nilikuwa nawachambulia Wapwa zangu hawa kwa undani namna gani Deep State ina-oparate lakini kuna waungwana wakaanza kulalama kwamba nawachanganya hawaelewi niende moja kwa moja nieleze kuhusu Wuhan.
Ikabidi nikatishe uhondo niwaeleze hiyo Wuhan kama unavyoona hapo.
Wangeniacha tungenufaika sana na mjadala wa Deep State.
Kama ni mfuatiliaji wa mambo kuna masuala kadhaa utakuwa umetagundua.
Suala la Covid-19 haliongelewi tena. Ghafla tu hakuna anayezungumzia 'social distancing' wala kuvaa mask... badala yake watu wale wale ambao walikuwa wanahamasisha watu wakae ndani ndio hao hao ambao wanahamasisha watu wakaandamane badala ya kufanya 'social distancing'.
Do you think its a coincidence?? No no no... kuna viti kwenye hii dunia vinatokea tunadhani ni bahati mbaya ila kiuhalisia viko planned careful and meticulously.
Hawa wapwa zangu wangeniacha nichambue kuhusu Deep State kisha niingie huku kwenye Corona tungeelewa kwa wepesi sana hata maana ya haya maandamano makubwa ambayo yanaendelea kwenye za magharibi.
Ila kama ambavyo nimeahidi... nikimaliza hii ya Covid-19 nitaanza Deep State kwa wale wenye misuli ya kusoma vitu vigumu.