COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

Wakuu,


Sehemu ya 13 naomba niwawekee leo hii saa moja jioni nikiwa nyumbani nimetulia.
Iko tayari lakini ina vielelezo vingi vya picha napaswa kukaa chini nitulie nipost.
Hivyo saa moja jioni nitakuwa vyema na niiweka hapa.


Asante.

The Bold
 
Tuko pamoja
Wakuu,


Sehemu ya 13 naomba niwawekee leo hii saa moja jioni nikiwa nyumbani nimetulia.
Iko tayari lakini ina vielelezo vingi vya picha napaswa kukaa chini nitulie nipost.
Hivyo saa moja jioni nitakuwa vyema na niiweka hapa.


Asante.

The Bold
 
Wakuu,


Sehemu ya 13 naomba niwawekee leo hii saa moja jioni nikiwa nyumbani nimetulia.
Iko tayari lakini ina vielelezo vingi vya picha napaswa kukaa chini nitulie nipost.
Hivyo saa moja jioni nitakuwa vyema na niiweka hapa.


Asante.

The Bold
NOTED MKUU
 
ivi sasa n 19:03

wale wenzangu na mm tujuane apa kabla hajapost.
kuisoma na kuimaliza story anayopost siku moja mm inanichukua takriban nusu saa
Mnadhani iyo tunayosoma nusu saa yeye anaweza tumia muda gani kutafiti, kuipangilia, kuiandika mpaka kuja kutupakulia apa??
 
ivi sasa n 19:03

wale wenzangu na mm tujuane apa kabla hajapost.
kuisoma na kuimaliza story anayopost siku moja mm inanichukua takriban nusu saa
Mnadhani iyo tunayosoma nusu saa yeye anaweza tumia muda gani kutafiti, kuipangilia, kuiandika mpaka kuja kutupakulia apa??
Hahahahahahahahahahahaha
 
DEEP STATE, COVID-19: Nini Maana ya Uhandisi Jaamii Unaotokea Duniani?





#13



MACE wakafikia hatua muhimu ya kufanya Pattern-of-Life Analysis kufahamu zile "Unique Devices" ambazo zilikiwa zinaonekana kwenye kituo cha WIV hasa ndani ya jengo la Maabara ya Level 4 zilikuwa zinatumiwa na kina nani?

Wakachukua hatua kadhaa, lakini iko hatua moja mahususi ambayo nataka kuiongelea kwa upana.
MACE wakaanza kukusanya data za transmission za simu zote ambazo zilikuwa zinatoka na kuonekana kwenye eneo hili la WIV.
Hii haikuwa tabu sana sababu idadi ya watu kwa kipindi hiki kwenye kituo cha WIV na maeneo yanayoizunguka haikuwa kubwa sana kama ambavyo ilikuwa inaonyesha kwenye hatua za kwanza za uchunguzi (hakukuwa na magari yanayopita karibu na kituo cha WIV baada ya baranara kufungwa mwanzoni mwa mwezi october na pia hakukuwa devices za kutosha zinazotumika ndani ya maabara).

Sasa,
MACE walipoanza kuchunguza mawasiliano ya simu kwa mwanzo wa mwezi Octoba mpaka wiki za mwisho na katikati wakang'amua hiki kitu hapa chini kwenye hizi picha.
 
Hii..
Screenshot_20200609-200545_WhatsApp.jpeg
 
Picha ya kwanza inaonyesha mwenendo wa mawasiliano ya simu kati ya mwezi August mpaka mwanzoni mwa mwezi October mwaka jana 2019.
Katika kipindi hiki unaweza kuona 'flow' sawia kabisa ya matumizi ya simu kwenye eneo la kituo cha WIV.
Hizo 'dots' nyingi ambazo ziko sehemu moja majengo mengine yaliyopo pale WIV wakati hizo dots mbili ni jengo ambali iko maabara ya BSL-4 ambayo ni watu wachache wana access ya kuingia.
 
Sasa tazama hii picha ya pili hapo juu.

Hii picha hapa chini inatuonyesha kwamba katika kipindi kati ya October 7 mpaka October 24 hakukuwa na aina yoyote ya matumizi ya simu katika eneo hili lote la Wuhan Institute of Virology.
Jaribu kulinganisha hii data na zile ambazo nimezitoa kwenye sehemu mbili zilizopita. Utagundua ni takribani kipindi hiki hiki pia ambapo kizuizi cha kuzuia magari barabara inayopita karibu na WIV kiliwekwa. Na pia ni takribani kipindi hiki hiki pia ambapo "Unique Device Cout" kwenye chati nilizoweka jana nazo zilishuka mpaka chini kabisa kuelekea sufuri.

Hii maana yake ni nini?

Maana yake ni kwamba hiki ndicho kipindi ambacho kuna jambo la dharura lilitokea hapo WIV na kusababisha kituo hiki cha kisayansi kifungwe.
Sasa ni muhimu sana tarehe hizi (October 7 mpaka october 24) kuziweka kichwani maana baadae nitajadili matukio kadhaa ambayo yanashabihiana na tarehe hizi.

Hii data ndio ambayo hasa iliwashitua Wizara ya Ulinzi wa Marekani. Kutoka tarehe 7 mpaka tarehe 24 ni takribani muda wa wiki mbili.
Hii maana yake ni kwamba kwa muda wa wiki mbili hizo hakukuwa na mtu yeyote yule katika kituo hiki cha WIV.

Hebu rejea picha namba moja.. tazama juu kabisa ya picha kwenye mstari wa njano unapopita. Utaona kuna dot. Hiyo dot ukilinganisha data za mwaka mzima za eneo hilo la WIV, hiyo iko hapo hapo. Maana yake ni kwamba hiyo ni 'security check point'. Eneo la walinzi ambapo wanakagua watu kabla hawajaingia ndani ya kituo.
Lakini dot hii ukitazama kwenye hii picha ya pili tarehe 7 mpaka 24 haipo. Maana yake ni kwamba hata walinzi hawakuwepo.

Je, inawezekanaje eneo nyeti kama hili hata walinzi wasiwepo kwa muda wa wiki mbili nzima.?
Hata ukienda kwenye maghorofa yetu ya Posta kipindi cha Holiday seasons ofisi nyingi hata zikifungwa kwa wiki nzima, lakini ukienda kwenye ofisi yeyote utakuta milango imefungwa lakini chini ya ghorofa walinzi wapo.
Sasa inawezekanaje sehemu nyeti mno kama hii WIV kwa muda wa wiki mbili nzima hata walinzi wasiwepo.

DOD ya Marekani jawabu pekee ambalo wamekuwa wanaliona linamshiko na mantiki ni kwamba… kuna 'evacuation' ilifanyika baada ya tukio fulani la hatari kutokea hapo kituoni.
Tukio gani… tuweka subira. Tutaona ushahidi.


Sasa tazama picha ya tatu hapa chini.
 
Picha hii inaonyesha flow ya mawasiliano ya simu kati ya Oct 25 mpaka Dec 1 mwaka jana 2019.

Tafasiri ya data hii ni kwamba, katika kipindi hiki inaonekana kuna uwepo wa watu ulirejea kwenye kituo cha WIV.

Utaona kuna mahala kuna dot kama tatu hivi ziko pamoja.
DOD walipofuatilia data za simu kwenye hizi dot wakagundua kwamba… dot moja data zake zinashabihiana na dot moja ambayo ilikuwa inaonekana kipindi cha August mpaka mwanzoni mwa October (eneo la walinzi). Lakini dot nyingine mbili zilizosalia hazishabihiani na data nyingine zozote za simu ambazo wamewahi kuziona kwenye eneo la WIV kwa muda wa mwaka mzima huo wa 2019.

Hii ina maana tatu muhimu sana.
Maana ya kwanza ni dhahiri kwamba hawa walikuwa ni walinzi. Lakini maafisa hawa wa ulinzi walikuwa wamebadilishwa isipokuwa watu wachache tu (mmoja au wawili). Kwamba serikali ilikuwa imepeleka maafisa wapya kulinda eneo la WIV na kuondoa wale walinzi wa awali isipokua afisa mmoja tu au wawili. Tutaongea zaidi kuhusu hii baadae.

Maana ya pili ni kwamba sehemu ya ukaguzi kabla ya watu kuingia ndani ya kituo cha WIV ilikuwa imehamishwa kutoka pale tulipopaona mara ya kwanza (kwenye mstari wa njano) na sasa imeingizwa ndani zaidi. Kuna uwezekano mkubwa walifanya hivi baada ya kuweka kizuizi kile barabarani.

Maana ya tatu ni kwamba, security perimeter ilikuwa imefanywa ndogo zaidi. Kwa nini, sababu pekee yenye mashiko ya wao kupunguza mzingo wa ulinzi ni kwamba 'focus' yao yote walikuwa wameielekeza kwenye jengo lenye maabara ya BSL-4. Lile jengo ambalo nililizungushia duara jana kwenye picha.

Naam, hizi teknikaliti za ulinzi nitaja kuzichambua zaidi kwa undani mbele kidogo.

Sasa hebu elekeza macho kwenye picha hii ya tatu na haswa nataka utazama hii dot moja ambayo imejitenga peke yake pale chini.

Nilisema kwamba eneo hili la WIV lina majengo kadhaa na kwenye majengo hayo yote ni jengo moja tu ambalo ndani yake lina maabara ya BSL-4.
Sasa mahala ambapo dot hii ipo ni hapo kwenye hii maabara ya BSL-4.
Maana yake ni kwamba baada ya eneo hili la kituo cha kisayansi cha WIV kufungwa ghafla kuanzia october kwa sababu ambazo mpaka sasa hatuzijui (of course baadae tutaona ushahidi/viashiria ni sababu zipi) lakini baadae, baada ya watu wote kuwa evecuated kuna mtu mmoja maalumu alipewa access ya hili eneo.

Ni nani huyu? Alikuwa anafanya nini?

Nimeelez kwamba katika hatua hii MACE walikuwa wanadukua 'cellphone data'.
Hivyo wakafanikiwa kuing'amua namba za utambulisho za simu hii.
Ukisoma kwenye ripoti ya MACE ambayo wamei-submitt DOD eneo la namba za utambulisho wa simu hii zimefichwa (reducted) kwa sababu zilizo wazi kabisa, hawawezi kuiweka hadharani.
Lakini hilo sio suala muhimu sana, suala muhimu na la kusisumua mi 'Pattern-of-Life Analysis' ambayo waliifanya ya mtumiaji wa simu hii.

Kuna mambo ya kusisimua hasa na kustaajabisha…

MACE wakafuatilia mwenendo wa 'Device' hii kwa kipindi cha mwaka mzima, na haya ndiyo ambayo walikutana nayo.


Tarehe 26 January mpaka tarehe 25 February mtumiaji wa device hii ilionekana kwamba alikuwa nchini Kenya kwa muda wa mwezi mzima. Naam, Kenya hapa hapa 'nyumbani'.
(Aambapo Tarehe 11 January mtumiaji wa Device hii alisafiri kwenda Dubai na kisha kurejea tena Kenya).

Tarehe 3 March mpaka Tarehe 28 June mtumiaji wa Device hii alikuwa mji mkuu wa nchi ya China, Beijing kwa kipindi cha miezi minne hiyo yote.

Tarehe 28 June mtumiaji wa device hii alikuwa mjini Wuhan, China.

Tarehe 21 mpaka Tarehe 25 August mtumiaji wa Device hii alikuja tena Kenya kabla ya Tarehe 28 kuelekea Dubai.

Baada ya hapo hakukuwahi kuwa a data nyingine yeyote ya Device hii (device hii iliacha kutumika) mpaka ilipokuja kuibuka tena mwishoni mwa october hapo eneo la Wuhan Institute of Virology.


Kuna nini unakiona hapo? Think… kuna jambo la wazi kabisa unaling'amua ukitazama mtiririko wa hizi safari na hatimaye kuja kuibukia WIV kipindi wafanyakazi wote wa hapo wakiwa wameondolowa kwa dharura.
 
Back
Top Bottom